NAFASI za Afisa Tawala Bungeni July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Afisa Tawala Bungeni July 2024
NAFASI za Afisa Tawala Bungeni July 2024, parliament of tanzania jobs,The National Assembly of Tanzania and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania.
✅AFISA TAWALA DARAJA LA II – NAFASI 1
KAZI NA MAJUKUMU YA AFISA TAWALA DARAJA LA II
- Kusimamia kazi za Utawala na Uendeshaji katika Taasisi;
- Kusimamia utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na Taratibu mbali mbali za Taasisi;
- Kuainisha, kuchambua na kushauri kuhusu mahitaji ya vitendea kazi
kwa watumishi; - Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu ya Taasisi;
- Kusimamia/kuratibu utoaji wa vitambulisho kwa watumishi; na
- Kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji awe na Shahada kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na
Serikali katika fani ya Utawala, Menejimenti ya Umma na awe na Ujuzi wa kutumia Kompyuta.
NGAZI YA MSHAHARA: Ngazi ya Mshahara ni PSS D
POST: AFISA TAWALA DARAJA LA II – 1 POST Employer: Parliament of Tanzania More Details |
2024-08-02 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI za Afisa Tawala Bungeni July 2024, parliament of tanzania jobs, The National Assembly of Tanzania and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania.