NAFASI za Fundi Sanifu Mitambo Bungeni July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Fundi Sanifu Mitambo Bungeni July 2024
NAFASI za Fundi Sanifu Mitambo Bungeni July 2024,parliament of tanzania jobs,The National Assembly of Tanzania and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania.
✅FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UFUNDI) – NAFASI 1
KAZI NA MAJUKUMU YA FUNDI SANIFU MITAMBO (MECHANICAL TECHNICIAN)
DARAJA LA II
- Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari, mashine na mitambo na
kushauri ipasavyo; - Kufanya matengenezo madogo madogo ya magari, mashine na mitambo;
- Kuandaa taarifa za kiufundi za magari, mashine na mitambo na kuziwasilisha kwa msimamizi wake wa kazi;
- Kuandaa Mpango wa Matengenezo Kinga ya magari, mashine na mitambo; na
- Kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji awe na Stashahada (Diploma) katika fani ya ufundi mitambo
kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
NGAZI YA MSHAHARA: Ngazi ya Mshahara ni PSS C
POST: FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UFUNDI) – 1 POST Employer: Parliament of Tanzania More Details |
2024-08-02 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI za Fundi Sanifu Mitambo Bungeni July 2024, parliament of tanzania jobs, The National Assembly of Tanzania and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania.