NAFASI za Fundi Sanifu Umeme Bungeni July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Fundi Sanifu Umeme Bungeni July 2024
NAFASI za Fundi Sanifu Umeme Bungeni July 2024,parliament of tanzania jobs,The National Assembly of Tanzania and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania.
✅FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME) – NAFASI 1
KAZI NA MAJUKUMU YA FUNDI SANIFU UMEME DARAJA LA II
- Kukagua na kuripoti kasoro za kiufundi za mifumo ya umeme (Electrical Faults);
- Kushughulikia kasoro ndogo ndogo za kiufundi za mifumo ya umeme;
- Kufanya usanifu na kupendekeza miradi midogo midogo ya umeme;
- Kufuatilia na kuhakiki ankara za umeme; na
- Kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi.
SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji awe na Stashahada (Diploma) katika fani ya Fundi Umeme
kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.
NGAZI YA MSHAHARA: Ngazi ya Mshahara ni PSS C
POST: FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME) – 1 POST Employer: Parliament of Tanzania More Details |
2024-08-02 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI za Fundi Sanifu Bungeni July 2024, NAFASI za Fundi Sanifu Umeme Bungeni July 2024, parliament of tanzania jobs, The National Assembly of Tanzania and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania.