NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024
NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024,Kata za wilaya ya sengerema, Historia ya wilaya ya sengerema, Shule za sekondari, wilaya ya Sengerema, Shule za msingi wilaya ya sengerema, Jina la mkuu wa wilaya ya sengerema.
POST | MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-02-13 2024-02-26 |
JOB SUMMARY | NIL |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | (i)Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
(ii)Katibu wa Kamati ya kijiji (iii)Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji (iv)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji. NAFASI Mpya za Kazi SIDO Tanzania February 2024 (v)Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji (vi)Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama. (vii)Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji. (viii)Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi. (ix)Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS B |
POST | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-02-13 2024-02-26 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
|
REMUNERATION | TGS C |
CLICK HERE TO APPLY
Ramani ya wilaya ya sengerema, Sengerema District profile, Nafasi za kazi HALMASHAURI ya Sengerema, Nafasi za kazi halmashauri ya wilaya ya magu, Nafasi za kazi halmashauri ya Ilemela, Sengerema mjini Nafasi za kazi, zilizotangazwa leo halmashauri ya Sengerema February 2024.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania February 07-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Historia ya wilaya ya sengerema, Jina la mkuu wa wilaya ya sengerema., Kata za wilaya ya sengerema, NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema February 2024, Shule za msingi wilaya ya sengerema, Shule za sekondari, wilaya ya Sengerema