RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 17/02/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024

NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024, Nafasi 144 za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024,NAFASI 144 za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024, Various Vacancies at Tanga Regional Referral Hospital February 2024, Majukumu ya mganga mfawidhi.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga – Bombo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa zinazohitajika na wenye nia ya kufanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga – Bombo kuwasilisha maombi yao.

DAKTARI DARAJA II (NAFASI 7)

SIFA ZA KUAJIRIWA

Kuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

KAZI NA MAJUKUMU

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali.
  • Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika eneo la kazi
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
  • Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.
  • Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi
  • Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake
  • Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement)
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

MSAIDIZI WA HESABU I (NAFASI 8)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Uhasibu kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU

  • Kutunza daftari la fedha la matumizi ya kawaida na maendeleo
  • Kutunza nyaraka za hati za malipo
  • Kuingiza mapato na matumizi kwenye vitabu vya fedha
  • Kusimamia sera za usalama katika hifadhi data (supervise development of security policy an access control)
  • Kusimamia utengenezaji wa kumbukumbu za rejea na kurudishia data. zilizopotea (superse backup and recovery both on-site and offsite)
  • Kufanya kazi nyingine ztakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU (NAFASI 8)
SIFA ZA KUAJIRIWA

Awe na stashahada ya utunzaji wa kumbukumbu kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali

MAJUKUMU

  • Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajika na watumiaji
  • Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwaajili ya matumizi ya ofisi.
  • Kuweka/kupanga kumbukumbu katika reki (file racks/cabinates) katika masjala/nyumba vya uhifadhia kumbukumbu.
  • Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili.
    kutunza, kudhibiti na kutoa kumbukumbu za wizara, idara zinazojitegemea, vituo vya kutunzia kumbukumbu, mikoa n.k kulingana na mahali alipo.
NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024, Nafasi 144 za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024,NAFASI 144 za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024, Various Vacancies at Tanga Regional Referral Hospital February 2024, Majukumu ya mganga mfawidhi.

NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga February 2024

DOBI DARAJA II (NAFASI 7)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya miaka miwili au mitatu katika fani ya Dobi (Laundry Services) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, na wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka 3.

Kazi Na Majukumu

  • Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements)
  • Kuandaa utaratibu wa upokeaji vifaa
  • Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa
  • Kusimamia upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa (Physical distribution)
  • Kubuni mfumo wa uwekaji na utunzaji vifaa ghalani (Location Index Design)
  • Kuandaa taarifa mbalimbali za vifaa
  • Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyomo ghalani kwa kufuata taratibu zilizopo
  • Kuandaa hati za kupokelea vifaa
  • Kutoa Vifaa vya watumiaji (Distribute goods to user departments and other users)
  • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

KARANI WA DATA DARAJA II (NAFASI 5)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani za Uhasibu, Utunzaji Kumbukumbu, Takwimu, Tabibu kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kuhamisha data kutoka katika makaratasi kwenda kwenye kompyuta
  • Kuainisha na kupanga kazi zilizopo kwenye nakala ngumu baada ya kukamilisha kuingiza kwenye kompyuta
  • Kupitia data ili kuhakiki makosa na mapungufu

MTEKNOLOJIA VIFAA TIBA DARAJA II (NAFASI 1)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Shahada ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ambao wamesajiliwa na Baraza la Wahandisi Tanzania.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya (Electronical

KAZI NA MAJUKUMU

  • Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements)
  • Kuandaa utaratibu wa upokeaji vifaa
  • Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa
  • Kusimamia upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa (Physical distribution)
  • Kubuni mfumo wa uwekaji na utunzaji vifaa ghalani (Location Index Design)
  • Kuandaa taarifa mbalimbali za vifaa
  • Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyomo ghalani kwa kufuata taratibu zilizopo
  • Kuandaa hati za kupokelea vifaa
  • Kutoa Vifaa vya watumiaji (Distribute goods to user departments and other users)
  • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

KARANI WA DATA DARAJA II (NAFASI 5)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani za Uhasibu, Utunzaji Kumbukumbu, Takwimu, Tabibu kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kuhamisha data kutoka katika makaratasi kwenda kwenye kompyuta
  • Kuainisha na kupanga kazi zilizopo kwenye nakala ngumu baada ya kukamilisha kuingiza kwenye kompyuta
  • Kupitia data ili kuhakiki makosa na mapungufu

MTEKNOLOJIA VIFAA TIBA DARAJA II (NAFASI 1)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Shahada ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ambao wamesajiliwa na Baraza la Wahandisi Tanzania.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya (Electronical
  • Kusimamia sera za usalama katika hifadhi data (supervise development of security policy an access control)
  • Kusimamia utengenezaji wa kumbukumbu za rejea na kurudishia data. zilizopotea (superse backup and recovery both on-site and offsite)
  • Kufanya kazi nyingine ztakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana
    na sifa na fani yake.

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU (NAFASI 8)

SIFA ZA KUAJIRIWA

Awe na stashahada ya utunzaji wa kumbukumbu kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali

MAJUKUMU

  • Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajika na watumiaji
  • Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
  • Kuweka/kupanga kumbukumbu katika reki (file racks/cabinates) katika masjala/nyumba vya uhifadhia kumbukumbu.
  • Kuweka kumbukumbu (barua,nyaraka n.k) katika mafaili.
  • Kutunza, kudhibiti na kutoa kumbukumbu za wizara, idara zinazojitegemea, vituo vya kutunzia kumbukumbu, mikoa n.k kulingana na mahali alipo

DOBI DARAJA II (NAFASI 7)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya miaka miwili au mitatu katika fani ya Dobi (Laundry Services) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, na wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka 3.

  • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

MTEKNOLOJIA II-DAWA (NAFASI 13)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Mteknolojia Daraja II – Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Wafamasia.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kuainisha, kuandaa na kuagiza mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi.
  • Kugawa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa na watumishi
  • Kuchanganya dawa
  • Kuhifadhi dawa na vifaa tiba
  • Kukagua dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi katika eneo lake la kazi
  • Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa.
  • Kuratibu kazi za kamati ya dawa ya hospitali
  • Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

AFISA USTAWI WA JAMII MSAIDIZI DARAJA II (NAFASI 4)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Ustawi wa Jamii (Diploma in Social Work) kutoka Chuo cha elimu ya Juu kinachotambuliwa na Serikali.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kuendesha usaili kwa wahudumiwa (watu wenye ulemalvu, wazee, familia zenye matatizo, watoto na washitakiwa).
  • Kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao
    kamili.
  • Kuandaa taarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa.
  • Kupokea na kukusanya taarifa za ustawi wa Jamii kutoka kwa wadau na vituo mbalimbali ya ustawi wa jamii.
  • Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo.

AFISA UGAVI DARAJA MSAIDIZI II (NAFASI 3)

SIFA ZA KUAJIRIWA

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Ununuzi/Ugavi kutoka katika chuo kinachotambuliwa

  • Kutambua, kuorodhesha na kuweka kumbukumbu za watoto chini ya miaka mitano na makundi mengine yanayoathiriwa na lishe duni ngazi ya kijiji na kata.
  • Kufuatilia na kutoa ushauri wa lishe kwa kaya zenye watoto wenye lishe duni.
  • Kuelekeza watoto na makundi mengine yanayoathiriwa na lishe duni wapelekwe kwenye kituo cha afya kwa huduma zaidi.
  • Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma zinazotolewa kwa makundi mbalimbali kwenye kata/kijiji.
  • Kusanya taarifa na takwimu za lishe katika sehemu yake ya kazi.

FUNDI BOMBA (NAFASI 2)

SIFA ZA KUAJIRIWA

Awe na cheti kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kusimamia mfumo wa mji safi na maji taka ndani ya Hospitali
  • Kufanya matengenezo na marekebisho ya mfumo wa maji safi na maji taka ndani ya Hospitali
  • Kushauri uongozi wa Hospitali juu ya kuboresha mifumo ya maji safi na maji taka ndani ya Hospitali

FUNDI UMEME (NAFASI 1)

SIFA ZA KUAJIRIWA

  • Awe na cheti kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali
    Kazi na majukumu:
  • Kusimamia mifumo ya umeme ndani ya Hospitali
  • Kufanya marekebisho ya mifumo ya umeme ndani ya Hospitali
  • Kushauri uongozi wa Hospitali juu ya kuboresha mifumo ya umeme ndani ya Hospitali.

FUNDI KIYOYOZI (AC) (NAFASI 1)

SIFA ZA KUAJIRIWA

  • Awe na cheti kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali
    Kazi na majukumu:
  • Kufanya marekebisho ya viyoyozi ndani ya Hospitali
  • Kushauri uongozi wa Hospitali juu ya kuboresha miundombinu ya iyoyozi
  • Kutunza vifaa vyote vinavyohusika na kazi za udobi

AFISA TAKWIMU (NAFASI 1)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa mwenye Shahada katika fani ya Takwimu kutoka katika chuo kinachotambulika Serikalini.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kusimamia takwimu zote za Hospitali
  • Kuainisha na kupanga takwimu zilizopo kwenye nakala ngumu baada ya kukamilisha kuingiza kwenye mfumo wa DHIS2
  • Kupitia Takwimu ili kuhakiki makosa na mapungufu
  • Kuhakikisha usalama wa takwimu muda wote
  • kuchakata takwimu na Kuandaa taarifa za kila mwezi, robo na mwaka
  • Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA

AFISA HABARI (NAFASI 1)

SIFA ZA KUAJIRIWA:

Kuajiriwa wenye Shahada/ Stashahada katika fani ya “Multimedia”, “Graphic Design”, “mass communication” na “Film Maker”, kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na wenye uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kuandaa matangazo, mabango na uwasilishaji wa habari.
  • Kuandaa picha na video za matukio mbalimbali katika taasisi.
  • Kuandaa vipeperushi vya huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi.
  • Kuhakikisha ubora wa uwasilishaji wa taarifa na matangazo mbalimbali.
  • Kusimamia na kuratibu mitandao ya kijamii.
  • Kuandaa Makala na kuratibu tovuti ya taasisi.

AFISA LISHE DARAJA LA II (NAFASI 1)

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kupokea na kusikiliza wateja kwa lugha nzuri
  • Kuwaelekeza wateja sehemu za kupata huduma husika
  • Kuwashauri wateja pale inapotokea changamoto ya huduma kwa lugha nzuri Kushauri uongozi wa hospitali katika kuboresha huduma kwa mteja
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

MASHARTI KWA WAOMBAJI WOTE.

  • Awe na umri usiozidi miaka 45 mwenye afya njema.
  • Waombaji waambatanishe wasifu (Curriculum Vitae) yenye anwani sahihi, namba za simu sahihi, pamoja na majina matatu ya wadhamini na namba zao za simu zinazopatikana.
  • Barua za wadhamini watatu zikiwa na anwani zao sahihi na namba za simu Awe na vyeti husika vya taaluma.
  • Testimonial “provisional Result” Statement of Result, hati ya matokeo ya kidato cha nne HAVIKUBALIKI.
  • Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhini
    shwa na TCU au NECTA.
  • Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo vilivyothibitishwa:
  • a) Cheti cha kuzaliwa
  • b) Cheti cha kuhitimu elimu ya Kidato cha nne
  • c) Cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha sita kwa waliohitimu

Mwisho wa maombi ni tarehe 24/02/2024
Maombi yote yawasilishwe masijala ya Hospitali au kupitia barua pepe barua@tangarrh.go.tz

Tanga ni jiji, Hospitali za rufaa tanzania, Majukumu ya hmt, Mganga mfawidhi wa hospitali in english, Maeneo ya tanga mjini, Mitaa ya tanga mjini, Ramani ya tanga, Ajira Mpya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga, Ajira Mpya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , , ,

Comments are closed.