KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi Jeshi la Magereza January 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 10/01/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Jeshi la Magereza January 2024

NAFASI za Kazi Jeshi la Magereza January 2024,Nafasi za kazi jeshi la magereza january 2024 download,, Nafasi za kazi Magereza 2024, Nafasi Za Kazi Magereza 2024 PDF,Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza 2023, Majina ya waliochaguliwa na Jeshi la Magereza, www.magereza.go.tz 2024.

NAFASI za Kazi Jeshi la Magereza January 2024

NAFASI za Kazi Jeshi la Magereza January 2024,Nafasi za kazi jeshi la magereza january 2024 download,, Nafasi za kazi Magereza 2024, Nafasi Za Kazi Magereza 2024 PDF,Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza 2023, Majina ya waliochaguliwa na Jeshi la Magereza, www.magereza.go.tz 2024.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, anatangaza nafasi za ajira kwa Vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Kidato cha Nne (Form IV) na wenye ujuzi wa fani mbalimbali kwa ngazi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

Waombaji wote wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-

SIFA ZA MWOMBAJI:

 • Awe ni raia wa Tanzania;
 • Awe na Kitambulisho cha Uraia au Namba ya Utaifa kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA);
 • Awe amehitimu Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au waliopo
  Makambini;
 • Asiwe amewahi kuajiriwa Serikalini;
 • Awe na umri kati ya miaka 18 – 25 kwa wahitimu wa Kidato cha Nne, na 18-30 kwa wenye ujuzi;
 • Awe na Cheti cha Kuzaliwa;
 • Awe na urefu usiopungua futi 5’4″ kwa wanawake na futi 5’7″ kwa wanaume;
 • Awe na siha na afya njema ya mwili na akili iliyothibitishwa na Daktari wa Serikali;
 • Asiwe ameoa/kuolewa;
 • Asiwe na alama au michoro yoyote katika mwili wake (tattoo);
 • Awe na nidhamu na tabia njema na awe hajawahi kupatikana na
  hatia kwa shitaka la Jinai Mahakamani na hajawahi kufungwa;
 • Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Askari Magereza na kufanya kazi mahali popote nchini Tanzania;
 • Awe tayari kujigharamia yeye binafsi katika hatua zote za awali za usaili wa ajira hii hadi kuripoti mafunzoni.
NAFASI za Kazi Jeshi la Magereza January 2024,Nafasi za kazi jeshi la magereza january 2024 download,, Nafasi za kazi Magereza 2024, Nafasi Za Kazi Magereza 2024 PDF,Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza 2023, Majina ya waliochaguliwa na Jeshi la Magereza, www.magereza.go.tz 2024.

NAFASI za Kazi Jeshi la Magereza January 2024

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI:

Kwa waombaji wa Elimu ya Kidato cha Nne (Form IV)

Waombaji wote waandike barua kwa Mkuu wa Gereza lililopo jirani.

Barua zote za maombi zitumwe kwa njia ya posta.

Barua za maombi ziambatishwe na nakala zifuatazo:-

 • Nakala ya cheti cha kuzaliwa (Birth Certificate);
 • Nakala za vyeti vya kuhitimu Kidato cha Nne (Academic Certificate na Leaving Certificate);
 • Cheti cha udhibitisho wa siha njema kutoka kwa Mganga wa Serikali;
 • Nakala ya kitambulisho cha uraia au namba ya utaifa kutoka
 • Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA);
 • Nakala ya Cheti cha kufuzu Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa
  (JKT) au barua kutoka kwa Mkuu wa Kikosi kwa waliopo Kambini;
 • Picha moja (01) ya Passport size;
 • Barua ya utambulisho kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji/Mtaa anakoishi mwombaji.

Kwa waombaji wenye ujuzi wa fani mbalimbali:

 • Mwombaji anatakiwa kuandika barua yake ya maombi kwa mkono wake (handwriting) na namba yake ya simu ya mkononi inayoweza kupatikana muda wowote.
 • Maombi yao yatumwe kwa Kamishna Jenerali wa Magereza kwa anuani ifuatayo:-

Kamishna Jenerali wa Magereza, Makao Makuu ya Magereza, Barabara ya Arusha,
Eneo la Msalato, S.L.P. 1176,
DODOMA.

Pamoja na barua ya maombi anapaswa kuambatisha nyaraka zifuatazo:-

 • Barua ya utambulisho toka kwa Mtendaji wa Kata au Serikali
  ya Mitaa/Kijiji anakoishi Mwombaji;
 • Nakala ya Cheti cha Kuzaliwa (Birth Certificate);
 • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya Utaifa;
 • Nakala ya Cheti cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au Barua ya Utambulisho kutoka kwa Mkuu wa Kikosi kwa wale waliopo Makambini;
 • Cheti cha uthibitisho wa siha njema kutoka kwa Mganga wa
  Serikali;
 • Nakala za vyeti vya Elimu ya Sekondari (Leaving and
  Academic);
 • Awe na Nakala ya Vyeti vya fani/ujuzi mbalimbali uliotangazwa
  (Academic certificates and transcripts);
 • Awe na picha moja (01) ya ‘passport size’.
 • Ujuzi na fani zinazohitajika:
 • Shahada ya Usimamizi wa Mifumo ya Tehama (Bachelor in Network Administration);
 • Shahada ya Uhandisi wa Programu (Software Engineering);
 • Shahada ya Saikolojia na Ushauri nasaha (Psychologhy and
  Councelling);
 • Shahada ya Udaktari (Bachelor in Medicine);
 • Shahada ya Uuguzi (Bachelor in Nursing);
 • Shahada ya Famasia (Bachelor in Pharmacy);
 • Shahada ya Afya ya Kinywa (Bachelor in Dental);
 • Shahada ya Upigaji Picha za Mionzi (Bachelor in Radiology);
 • Shahada ya Uhandisi wa Tiba Tendaji (Bachelor in Biomedical Engineer);
 • Stashahada ya Ufundi wa Vifaa vya Ofisi (Diploma of Office Machines);
 • Stashahada ya Utabibu (Diploma in Clinical Medicine);
 • Stashahada ya Uuguzi (Diploma in Nursing);
 • Stashahada ya Famasia (Diploma Nursing in Pharmacy);
 • Stashahada ya Afya ya Kinywa (Diploma in Dental Heath);
 • Stashahada Upigaji Picha za Mionzi (Diploma in Radiology);
 • Stashahada ya Uuguzi wa Viungo (Diploma in Physiotherapy);
 • Stashahada ya Eletroniki na Mawasiliano (Diploma in Electronics and Communications or Electronics and Telecommunications);
 • Stashahada ya Takwimu (Diploma in Statistics);
 • Stashahada ya Kilimo/Mifugo;
 • Stashahada ya Katibu Muhtasi (Diploma in Secretarial);
 • Stashahada ya Lugha za Alama (Diploma in Sign Language).
  Zingatia:

Waombaji wote ambao walishafukuzwa katika kozi za mafunzo ya awali ya uaskari Magereza hawaruhusiwi kuomba tena; Barua itayowasilishwa kwa njia ya mkono au barua pepe (email) haitafanyiwa kazi;

Mwombaji yoyote atakayewasilisha nyaraka za uongo/kughushi
(Forged Documents) atakuwa ametenda kosa la jinai hivyo atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 26 Januari, 2024.

TANGAZO LA AJIRA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA JANUARY 2024 DOWNLOAD PDF HERE

Sifa za kujiunga na jeshi la magereza, Nafasi Za Kazi Jeshi la Magereza Tanzania January 2024, Majina ya magereza 2024, Historia ya jeshi la magereza tanzania, Ajira ZA Jeshi la Magereza Tanzania, Kuitwa kwenye Usaili Jeshi la Magereza, Jobs at Jeshi la Magereza Tanzania January 2024, Nafasi za Kujiunga na ajira za Jeshi la Magereza January 2024,TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI JESHILI LA MAGEREZA 2024,Nafasi Mpya za Kazi Jeshi La Magereza | Tanzania Jobs 2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *