SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 05/04/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali April 2024

NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali April 2024

NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali April 2024

NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali April 2024

NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) April 2024

POST ASSISTANT GRAPHIC DESIGNER II – 1 POST
EMPLOYER Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN)
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-27 2024-04-07
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • To design attractive pages and advertising art work;
  • To prepare and apply infographics and data;
  • To receive and prepare pages printing layout;
  • To ensure accuracy in final product;
  • To advise the News Desk on the best page design;
  • To prepare plates for printing; and
  • To perform any other related duties as may be assigned by the supervisor.
  • NECTA taarifa Kwa Wanaotarajia Kufanya Mtihani wa Kidato Cha Sita 2024

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of a Certificate of Secondary Education Examination (CSEE)/Advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) PLUS Certificate in Graphic Design or equivalent qualification from recognized Institutions.

REMUNERATION TSN 2

NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali April 2024Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) ni shirika la umma lililoanzishwa tarehe 0 Februruari, 1970, chini ya Sheria ya Mashirika ya Umma, 1961. Hivi sasa TSN ni kampuni ya binafsi ya dhima yenye kikomo (LTD) inayomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye 99% ya hisa na Mhariri Mtendaji, ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa masuuli (1% ya hisa).

Historia ya Tanzania Standard Newspapers Ltd imwanzia 1 Januari, 1930 wakati kampuni ya Kenya, East Africa Consolidated Holdings ilipoanzisha Tanganyika Standard Newspapers Ltd. Hata hivyo, baadaye kampuni ya biashara ya Uingereza, London-Rhodesia (LONRHO) ilinunua hisa nyingi Tanganyika Standard Newspapers Ltd mwaka 1961. Badala yake, iliunda kampuni mbili tofauti za Tanganyika Standard Newspapers Limited (TSN) na Printpack Tanganyika Limited (TPL). TSN ilichapisha Tanganyika Standard na Sunday News wakati Printpack iliyachapa. Mwaka 2006, TSN ilinunua mashine zake za uchapishaji.

Terehe 5 Februari, 1970, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitaifisha Tanganyika Standard Newspaper na kuanzisha Tanzania Standard Newspapers Limited, shirika la umma linalomilikiwa na serikali.

TSN inamiliki na kuchapisha magazeti ya kila siku ya kurasa pana ya Daily News na toleo la Jumapili la Sunday News, Habari Leo la kiswahili ambalo ni dogo lilianzishwa mwaka 2006 na Spotileo, gazeti la michezo lililoanzishwa mwaka 2011. Aidha, inamiliki na kuchapisha magazeti matano. Katika kila wizara ya serikali, idara, mamlaka ya usimamizi na shirika, ni lazima wanunue na kusoma magazeti ya Daily News na Habari Leo.

Hivi karibuni, TSN imepanua biashara yake na kujumjuisha matangazo kwa njia ya mtandao, utayarishaji wa makala za televisheni, ushauri, ubia, mikutano ya biashara, upigaji wa picha za biashara na mafunzo. Mipango inaendelea kuanzisha shirika la habari.

NAFASI za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali April 2024

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *