SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZAĀ HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 08/04/2024 19 Comments

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024,Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024,Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.

Nafasi za Kazi zilizotanganzwa Kampuni ya Mabasi ya Abood ni;
1.Madereva
2.Makonda
3.Wakatishaji Tiketi
4.Wahudumu Ndani Ya Basi
5.Wawekaji Na Watoaji Mizigo Kwenye Bus
6.Waosha Magari

MUHIMU
1.Uwe Na Miaka Kuanzia 18
2.Awe Mtanzania Tu
3.Jinsia Zote

Mwisho Wa Kutuma Maombi: 01.06.2024

KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA

Nafasi za Wahudumu Ndani Ya Basi Kampuni ya Mabasi ya Abood, Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Waosha Magari Kampuni ya Mabasi ya Abood.

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024,Ajira Mpya za Madereva Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Makondakta Kampuni ya Mabasi ya Abood, Nafasi za Wakata Tiketi Kampuni ya Mabasi ya Abood.

NAFASI za Kazi Kutoka Kampuni ya Mabasi ya Abood April 2024

ABOUT US

Abood Bus Service Limited is a trailblazer in the field of intercity bus transportation in Tanzania. Founded in 1986, the company has built a solid reputation for quality and reliability, operating a fleet of more than 100 buses that serve the entire country, from the Northern to the Southern, Western and Eastern regions. At Abood Bus Service, we are committed to providing our passengers with the best possible experience.


Furthermore, we understand the importance of safety and reliability, and our team works tirelessly to ensure that each trip is safe, secure and worry-free.

OUR BUSES ARE A PERFECT BLEND OF LUXURY AND COMFORT.

PIA UNAWEZA KUSOMAšŸ‘‡

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , ,

Comments (19)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. Mimi ester massamu Nina miaka 28naomba kazi ya kukata tiketi katika kampan yenu ya abood natumia ombi langu litakubaliwa

  • Veronica says:

   Mimi Veronica nkya mwenye umri wa miaka 20 ninaomba kufanya kazi katika kampuni yenu katika nafasi ya uhudumu katika basi natumai ombi langu litakubaliwa muwe na majukum mema

  • Hassani says:

   Mimi hassani husseni Nina miaka 18 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus kwani nitafanya kazi kwa kujituma na kwa uaminifu nawatakia kila la gheri namatumaini ombi langu lita kubaliwa

 2. Hassani says:

  Mimi hassani husseni Nina miaka 18 naomba kazi ya kuhudumia ndani ya bus nitafanya kazi kwa bidii na kwa uwaminifu nawatakia kila la gheri natumaina ombi langu lita kubaliwa

 3. Ramadhani Salum says:

  Mimi Ramadhani Salum nina umri wa miaka 35 naomba kazi ya kupakia mizigo na kushusha katika kampuni yeni tukufu natumaini ombi langu litakubaliwa.

 4. Vedastus Peter says:

  Naitwa Vedastus nina miaka32 naomba nafasi ya kuwa kondakta katika bus zenu. Asante

 5. SHEILA SAID HALFANI says:

  Naitwa sheila halfani,naishi chalinze mkoa wa pwani,ninaumri wa miak 21
  Naomba nafasi ya kutoa huduma ndani ya basi katika kampuni yako
  Nitafanya kaz kwa bidii na kwa umakini mkubwa
  Natumaini ombi langu linafanyiwa kazi
  Ahsante

 6. Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu,
  Naitwa Athumani Ahmadi nina umri wa miaka 22 ,
  Nipo Dar es salaam,Naomba nafasi ya kazi ya ukondakta na pia ni fundi wa magari,Naomba uniajiri katika kampuni yako
  Nakuahidi ntafanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu mkubwa inshaallah Natumaini ombi langu litakubaliwa

 7. Unice Acley says:

  Naitwa Unice Acley Nina umri wa miaka 20 Niko Dar es salaam mbez Naomba nafasi ya kazi ya muhudumu ndani ya gari ivyo naomba unihajiri katika kampun yako na haidi kufanya kazi kwa uhaminifu na bidii Asante natumai ombi langu litajibiwa

 8. Godhelper msuya says:

  Naitwa Godhelper Eliniangaze Msuya Niko musoma Nina umri wa miaka 21 . Ninaomba nafasi ya kazi katika kampuni yenu katika nafasi ya uhudumu katika magari nitafanya kazi Kwa kujituma

 9. Kipangule Gaitan says:

  Kipangule Gaitan says:
  22/4/2024

  Naitwa gaitan kipangule ninaumri wa miaka 26 ninaomba nafaxi ya kaz katika kampuni yenu nafas ya ukondaki. Ninakuahid nitafanya kaz Kwa bidii zang zote natumain ombi langu litakubaliwa

 10. Kipangule Gaitan says:

  Naitwa gaitan kipangule nipo makambako ninaumri wa miaka 26 ninaomba nafas ya Kazi kwenye kampun yenu nafas ya ukondakita Ninakuahid nitafanyakaz kwabidii zangu zote natumain ombilangu litakubaliwa

 11. julian festo says:

  Kwa MAJINA naitwa JULIANI FESTO Nina umli wa miaka 21 Ninakaa kabindi wiraya ya BIHARAMLO NI MTANZANIA NINA AKILI TIMAM NAJUA KUSOMA NA KUANDIKA NAJUA LUGHA MBILI KINGEREZA NA KISWAHILI . NAPENDA KUOMBA NAFASI YA UKONDAKTA NINAUZOEFU NA KAZI YA UKONDAKTA KEA MIEZI 6 NINAHAHIDI KIFANYA KAXI KWA UAMINIFU MKUBWA NDANI YA KAMPON YA ABOOD MATUMAINI YANGU NITAKUBALIEA ASANTE

 12. Swalehe borhan kitola says:

  Naomba kazi ya ukonda au kukata tiketi au kupakua mizigo na kushusha kwenye kampuni yenu naimani kwauwezo wamungu nita kubaliwa

 13. Mimi nikijana wamiyaka 23 na0mba kazi na ukonda au upakuajia naimani mta kubaliwa ombilangu Kwa uwezo wa mungu

 14. Fatuma yusufu says:

  Mimi fatma yusufu mwenye umri wa miaka 22 naomba kazi ya kukata tiketi katika kampuni ya abood
  Natumai ombi langu litakubaliwa
  Ahsante

 15. Mimi na itwa alhamdu rashidi
  mwenye umuli wa mika20
  naomba kazi ya ukondakita katika
  Kamupuni ya abood
  natumain ombi langu lita kuba liwa
  hahsante

 16. Mimi na itwa alhamdu rashidi
  mwenye umuli wa mika20
  naomba kazi ya ukondakita katika
  Kamupuni ya abood
  natumain ombi langu lita kuba liwa
  ahsante

  • Anord says:

   Mimi anord archard mwenye umri wa miaka 24 naomba nafasi ya ukondakita ndani ya kampuni ya abood natumaini ombi langu linakubaliwa ahsante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *