SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 12/03/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga March 2024, 2 POST at Shirika la Mzinga March 2024,New Opportunities at Shirika la Mzinga March 2024,New Jobs at Shirika la Mzinga March 2024, Ajira Mpya kutoka Shirika la Mzinga March 2024.

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga March 2024, 2 POST at Shirika la Mzinga March 2024,New Opportunities at Shirika la Mzinga March 2024,New Jobs at Shirika la Mzinga March 2024, Ajira Mpya kutoka Shirika la Mzinga March 2024.

POST ARTISAN GRADE II (PATTERN MAKING AND FOUNDRY) – 2 POST
EMPLOYER Shirika la Mzinga
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-08 2024-03-21
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  • To translate detail drawings and make patterns;
  • To prepare patterns as required in order to produce different components/parts;
  • To move foundry materials and cleaning work areas;
  • To melt metals pouring metal into moulds and remove casts from moulds; and
  • To perform any other related duties as assigned by his/her superior

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Holder of Form Four Certificate and CBET Level II Certificate or Trade Test Grade II certificate in Pattern Making and Foundry.

REMUNERATION PGSS 2

CLICK HERE TO APPLY

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga March 2024, 2 POST at Shirika la Mzinga March 2024,New Opportunities at Shirika la Mzinga March 2024,New Jobs at Shirika la Mzinga March 2024, Ajira Mpya kutoka Shirika la Mzinga March 2024.SHIRIKA LA MZINGA

Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro lilianzishwa mnamo mwaka 1971, likiwa ni Mradi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa ajili ya kuzalisha mazao kwa matumiziya JWTZ. Ilipofika tarehe 13 Septemba, 1974, mradi huu ulitangazwa rasmi kuwa Shirika la Umma chini ya Sheria ya The Public Corporation Act No. 19 of 1969, na kupewa Jina la Shirika la Mzinga, kwa Waraka wa Serikali Nambari 219 wa Mwaka 1974 na hivyo, kuwa chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Lengo kuu la kuanzishwa kwa Shirika hili, ni kufanya tafiti mbalimbali za kijeshi, kuzalisha na kuuza zao la msingi, silaha za kiraia, baruti na viwashio kwa wachimbaji madini, mawe na wajenzi.

DIRA

Kuwa kiwanda cha kisasa cha Kijeshi kinachotengeneza vifaa na zana bora kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa Taifa.

DHIMA

Kutafiti, kuendeleza na kutengeneza mazao ya msingi ya kijeshi na kiraia, pamoja na kutoa ushauri wa kitaaalamu katika shughuli za kuhandisi.

MUUNDO WA SHIRIKA

Shirika la Mzinga linaloongozwa na Bodi ya Wakurugenzi chini ya Bodi yupo Meneja Mkuu ambaye huongoza Idara kuu saba na Vitengo vinne.

KAZI NA WAJIBU WA SHIRIKA KISHERIA

Majukumu ya Shirika yamegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni Uzalishaji wa mazao ya msingi (asilia) na Tafiti za Kijeshi. IFUATAVYO:-

  • Kuzalisha mazao na mitambo mbalimbali kama itakavyoamuliwa na Bodi ya Wakurugenzi;
  • Kufanya tafiti mbalimbali kama itakavyoamuliwa na mamlaka za juu;
  • Kufanya shughuli za kukarabati vifaa na mitambo mbalimbali;
  • Kutekeleza majukumu mengine yote muhimu kwa maendeleo ya Shirika na Taifa; na
  • Kutekeleza majukumu yote kama itakavyoagizwa na Bodi ya Wakurugenzi.

Nafasi za kazi shirika La mzinga, Mzinga Corporation, Mzinga Corporation products, MZINGA firearms, Kitambulisho cha jwtz, Tanzania kuna majeshi mangapi, Sare za jkt, Wimbo wa jeshi jwtz lyrics, NYUMBU jwtz, Jinsi ya kujiunga na JKT, Chuo cha afya cha jeshi,
Nyumbu gari.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *