RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 16-2024

Filed in Ajira by on 16/05/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 16-2024

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 16-2024, Ajira Mpya za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 2024, Nafasi za Ajira kutoka Shirika la Mzinga May 2024, Nafasi za Kazi Shirika la Mzinga May 2024.

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 16-2024

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 16-2024, Ajira Mpya za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 2024, Nafasi za Ajira kutoka Shirika la Mzinga May 2024, Nafasi za Kazi Shirika la Mzinga May 2024.

POST MARKETING OFFICER II – 1 POST
EMPLOYER Shirika la Mzinga
APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

 • To record new job orders;
 • To record finished jobs;
 • To raise profoma invoices for customers;
 • To prepare delivery notes before goods are issued to customer;
 • To execute daily sales and recording;
 • To maintain customer’s order book;
 • To maintain customer sales ledger;
 • To issue profoma invoices
 • To ensure timely payments by customers;
 • To maintain the customers, complaint file;
 • To execute Daily sales and recording;
 • To perform any other related duties as assigned by his/her superior.

NAFASI za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 16-2024

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of Form Four Certificate and Bachelor Degree in one of the following fields: Marketing, Entrepreneurship, Commerce or Business Administration majoring in Marketing or equivalent qualifications from recognized institution.

REMUNERATION PGSS 6

NAFASI nyingine zaidi za Kazi Kutoka Shirika la Mzinga May 16-2024 tazama hapa chini.

SHIRIKA LA MZINGA

Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro lilianzishwa mnamo mwaka 1971, likiwa ni Mradi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa ajili ya kuzalisha mazao kwa matumiziya JWTZ. Ilipofika tarehe 13 Septemba, 1974, mradi huu ulitangazwa rasmi kuwa Shirika la Umma chini ya Sheria ya The Public Corporation Act No. 19 of 1969, na kupewa Jina la Shirika la Mzinga, kwa Waraka wa Serikali Nambari 219 wa Mwaka 1974 na hivyo, kuwa chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Lengo kuu la kuanzishwa kwa Shirika hili, ni kufanya tafiti mbalimbali za kijeshi, kuzalisha na kuuza zao la msingi, silaha za kiraia, baruti na viwashio kwa wachimbaji madini, mawe na wajenzi.

DIRA

Kuwa kiwanda cha kisasa cha Kijeshi kinachotengeneza vifaa na zana bora kwa ajili ya Ulinzi na Usalama wa Taifa.

DHIMA

Kutafiti, kuendeleza na kutengeneza mazao ya msingi ya kijeshi na kiraia, pamoja na kutoa ushauri wa kitaaalamu katika shughuli za kuhandisi.

MUUNDO WA SHIRIKA

Shirika la Mzinga linaloongozwa na Bodi ya Wakurugenzi chini ya Bodi yupo Meneja Mkuu ambaye huongoza Idara kuu saba na Vitengo vinne.

KAZI NA WAJIBU WA SHIRIKA KISHERIA

Majukumu ya Shirika yamegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni Uzalishaji wa mazao ya msingi (asilia) na Tafiti za Kijeshi. IFUATAVYO:-

 • Kuzalisha mazao na mitambo mbalimbali kama itakavyoamuliwa na Bodi ya Wakurugenzi;
 • Kufanya tafiti mbalimbali kama itakavyoamuliwa na mamlaka za juu;
 • Kufanya shughuli za kukarabati vifaa na mitambo mbalimbali;
 • Kutekeleza majukumu mengine yote muhimu kwa maendeleo ya Shirika na Taifa; na
 • Kutekeleza majukumu yote kama itakavyoagizwa na Bodi ya Wakurugenzi.

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *