RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

NAFASI za Kazi Kutoka Simba SC June 06-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 06/06/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Kutoka Simba SC June 06-2024

NAFASI za Kazi Kutoka Simba SC June 06-2024

NAFASI za Kazi Kutoka Simba SC June 06-2024

NAFASI za Kazi Kutoka Simba SC June 06-2024, Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club inawatangazia wanachama wake wote kuwa inakaribisha maombi ya kazi ya mkataba kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki.

Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki ni nafasi inayoundwa katika ibara ya 32 (1) ya Katiba ya Simba Sports Club, 2018 na majukumu yake yapo kikatiba.

SIFA ZA WAOMBAJI

  • Awe Mwanachama hai wa Simba Sports Club kwa kipindi kisichopungua miaka mitano.
  • Awe na kiwango cha Elimu cha angalau Shahada kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  • Awe na Umri usiozidi miaka 50.
  • Awe na ujuzi wa kutumia tarakirishi (Computer).

Barua za maombi zielekezwe kwa
Afisa Mtendaji Mkuu, Simba Sports Club,
P.O. Box 15318
DAR ES SALAAM

Maombi yote yaambatane na nakala za kitaaluma vilivyothibitishwa na wakili/ hakimu, kadi halisi ya uanachama wa Simba Sports Club wa mwombaji, Wasifu, na Nakala ya Kitambulisho cha Mpiga Kura, pasi yakusafiria, au kitambulisho cha Taifa.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI

Maombi yatumwe kwa anuani ya Posta iliyoainishwa au kuwasilishwa katika ofisi ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Sports Club iliyopo Plot No. 8 na 10 Oysterbay, Haile Selasie Road Dar es Salaam.

Mwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 14 Juni, 2024.

Aidha maombi yakatayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili hayatafanyiwa kazi.

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *