NAFASI za Kazi Kutoka Tume ya Utumishi Zanzibar Juni 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Kazi Kutoka Tume ya Utumishi Zanzibar Juni 2024
NAFASI za Kazi Kutoka Tume ya Utumishi Zanzibar Juni 2024, Tume ya Utumishi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inatangaza nafasi za kazi kwaajili ya Ofisi ya Rais – Ikulu kama ifuatavyo:-
1:Mhandisi Majengo Daraja la II ZPSF -02 Nafasi 1” – Unguja
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi Ujenzi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
2:Mtunza Nyumba Daraja la III ZPSE – 10 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utalii na Ukarimu au Utunzaji nyumba kutoka chuo
kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
3:Afisa Manunuzi Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Ununuzi na Ugavi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
4:Afisa Ununuzi Msaidizi Daraja la III ZPSD-03 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ununuzi na Ugavi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
5:Afisa Mipango Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Mipango au Uchumi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
6:Afisa Ufuatiliaji na Tathmini Daraja la II ZPSF- 02 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Ufuatiliaji na tathmini au Mipango au Uchumi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar.
7:Mpishi Daraja la III ZPSB-04 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Elimu ya Cheti katika fani ya Upishi kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar.
8:Afisa TEHAMA (Neworking) Daraja la II ZPSF-02 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
9:Afisa Ushirikiano wa Kimataifa Daraja la II ZPSE-10 “Nafasi 1” – Pemba
SIFA ZA MUOMBAJI:
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
JINSI YA KUOMBA:
Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya Kielektroniki kwenye mfumo wa Maombi ya Ajira (ZanAjira) kupitia
anuani ifuatayo: https://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 19 Juni, 2024 hadi tarehe 03 Julai,
2024.
Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Tume ya Utumishi Serikalini www.zanajira.go.tz.
Barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo kupitia mfumo wa ZanAjira (kwa njia ya kielektroniki pekee):-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P 1587,
ZANZIBAR
Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba.
Muombaji atakaewasilisha “Progressive Report” au “Statement of Results” pekee maombi yake hayatazingatiwa.
Kwa msaada wa kitaalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia simu Namba. 0773101012.
DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI za Kazi Kutoka Tume ya Utumishi Zanzibar Juni 2024