SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Biharamuro April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 16/04/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Biharamuro April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Biharamuro April 2024, Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro April 2024,TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMURO 16-04-2024, Nafasi za Watendaji wa Vijijini Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro April 2024, Ajira Mpya za Watendaji wa Vijijini Halmashauri ya Wilaya Biharamuro April 2024.

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Biharamuro April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Biharamuro April 2024, Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro April 2024,TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMURO 16-04-2024, Nafasi za Watendaji wa Vijijini Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro April 2024, Ajira Mpya za Watendaji wa Vijijini Halmashauri ya Wilaya Biharamuro April 2024.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo amepokea kibali cha Ajira Mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye kumb.Na. FA.228/613/01/B/003 cha terehe 15/03/2024.

Hivyo, anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 04 za Mtendaji wa Kijiji III kama inavyoonekana hapa chini:-

1.0 MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – (NAFASI 04)

SIFA ZA MWOMBAJI.

 • Awe na elimu ya kidato cha Nne (IV) au Sita (VI).
 • Awe na cheti cha Astashahada (Technician Certificate- NTA LEVEL 5) katika moja ya fani zifuatazo: – Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

1.3 MAJUKUMU YA KAZI.

 • Mtendaji na Mshauri Mkuu wa Serikali ya kijiji na Kamati zake katika kupanga mipango ya maendeleo na utekelezaji wake.
 • Kusimamia upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji
 • Mlinzi wa Amani na msimamizi wa Utawala Bora katika kijiji.
 • Kuratibu vikao vya maendeleo ya kijiji vinavyowahusisha wananchi na wataalamu walio katika kijiji chako.
 • Kusimamia na kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika kijiji chako.
 • Kuwa katibu wa Serikali ya kijiji.

1.4 MSHAHARA.
Kwa kuzingatia Ngazi ya Mishahara ya Serikali yaani TGS B

MASHARTI KWA UJUMLA.

 • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
 • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma;
 • Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika;
 • Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia Sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi ya kazi kwa waajiri wao na waajiri wao wajiridhishe ipasavyo.
 • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detail C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika;
 • Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
 • Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates, – Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, – Computer Certificate, – Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards);
 • “Testmonial”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
 • Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
 • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
 • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
 • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria. xii. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Aprili, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vya Elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.L.P 70,
BIHARAMULO.

Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye Mfumo wa Kieletroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa “Recruitment Portal”).

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMURO 16-04-2024 DOWNLOAD PDF DOCUMENT

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Biharamuro April 2024, Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro April 2024,TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMURO 16-04-2024, Nafasi za Watendaji wa Vijijini Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro April 2024, Ajira Mpya za Watendaji wa Vijijini Halmashauri ya Wilaya Biharamuro April 2024.Historia ya Halmashauri ya Wilaya ya Biharamuro

Biharamulo  ni mojawapo ya Wilaya nane katika Mkoa wa Kagera yenye eneo la kilometa za mraba 5,627. Kwa upande wa kaskazini Wilaya inapakana na Wilaya ya Muleba  na Karagwe Kusini inapatikana Wilaya ya Bukombe na Wilaya Kakonko.

Kwa upande wa magharibi inapakana na Wilaya ya Ngara na Mashairki inapakana na Wilaya ya chato.Wilaya ya Biharamulo Imegawanyika katika Tarafa mbili (2) za Nyarubungo na Lusahunga.Pia inazo Kata kumi na saba zenye jumla ya vijiji 74 na vitongoji 384.

Kwa upande wa Mashariki inapakana na Wilaya mpya ya Chato, kwa upande wa Magharibi inapakana na Wilaya ya Ngara, kwa upande wa Kaskazini Wilaya inapakana na Wilaya ya Muleba na Karagwe na Kusini inapakana na Wilaya za Bukombe na Kakonko.

Wilaya ipo kilometa 171 kutoka makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Wilaya inapatikana kati ya nyuzi 215’ – 3015’ kusini mwa Ikweta na 310 – 320 Mashariki mwa “Standard Meridian”.  Pia Wilaya ipo kwenye mwinuko wa kati ya mita 1135 – 1410 kutoka usawa wa bahari

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *