SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Nzega April 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 16/04/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Nzega April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Nzega April 2024, Nafasi za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024, Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024, Ajira za Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024,TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 16-04-2024,Ajira za Watendaji wa Vijijini Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024.

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Nzega April 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Nzega April 2024, Nafasi za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024, Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024, Ajira za Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024,TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 16-04-2024,Ajira za Watendaji wa Vijijini Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nzega anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji Nzega kuomba nafasi ya kazi iliyo tangazwa hapo chini, baada ya kupokea Kibali cha Ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA.228/613/01/b/055 cha tarehe 15/03/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 1)

SIFA ZA MWOMBAJI

 • Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne
 • Awe na Leseni Daraja E au C ya uendeshaji magari
 • Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au chuo kingine kinacho tambuliwa na Serikali

MAJUKUMU YA KAZI.

 • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
 • Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
 • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
 • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
 • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
 • Kufanya usafi wa gari
 • Kufanya kazi zingine kadri utakavyo elekezwa na Msimazi wako wa kazi.

MSHAHARA

Kwa kuzingatia ngazi ya Mishahara ya Serikali yaani TGS B kwa Mwezi.

MASHARTI KWA UJUMLA

 • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
 • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma;
 • Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika;
 • Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia Sifa zakuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi yanafasi ya kazi kwa waajiri wao na waajiri wao wajiridhishe ipasavyo.
 • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detail C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika;
 • Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
 • Postgraduate/Degree/Advanced
  Diploma/Diploma/Certificates, – Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, Computer Certificate, Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards);
  “Testmonial”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
 • Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
 • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
 • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
 • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 28 Aprili, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vya Elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI WA MJI,
HALMASHAURI YA MJI NZEGA,
S.L.P 256,
NZEGA.

Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye Mfumo wa Kielekroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyo andikwa “Recruitment Portal”).

Maombi yatakayo wasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 16-04-2024 DOWNLOAD PDF DOCUMENT

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Nzega April 2024, Nafasi za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024, Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024, Ajira za Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024,TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 16-04-2024,Ajira za Watendaji wa Vijijini Halmashauri ya Wilaya ya Nzega April 2024.Historia ya Halmashauri ya Wilaya Nzega

The goals of Tanzania’s Development Vision 2025 are in line with United Nation’s Millennium Development Goals (MDGs) and are implemented through the National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP) or MKUKUTA in Kiswahili. The major goals are to achieve a high-quality livelihood for the people, attain good governance through the rule of law and develop a strong and competitive economy. To monitor the progress in achieving these goals, there is need for timely and accurate data and information at all levels.

Problems especially in rural areas are many and demanding. Social and economic services require sustainable improvement. The high primary school enrolment rates recently attained have to be maintained so as the policy of making sure that all pupils who pass standard seven examinations join form one. The food situation is still precarious; infant and maternal mortality rates continue to be high and unemployment triggers mass migration of youths from rural areas to the already overcrowded urban centres.

The District Profiles cover a wide range of statistics and information on geography, population, social-economic parameters, social services, economic infrastructure and the productive sector. Such data have proved vital to many policy makers, planners, researchers, donors and functional managers.

The Nzega District Socio Economic Profile has taken advantages of the experience gained in the production of the Regional Socio Economic Profiles covering the whole country. Constructive views and criticisms are still invited from readers to enable such a profile become a better tool in implementation of the country’s policies at the district level.

NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Nzega April 2024

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *