NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Songwe March 2024
NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Songwe March 2024
NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Songwe March 2024, Nafasi za kazi halmashauri ya Songwe NAFASI ZA KAZI Songwe 2024,Kata za wilaya ya songwe,Nafasi za kazi kwenye mabasi ya mikoani 204,NAFASI za kazi SGR Tabora 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmasahuri ya Wilaya ya Songwe amepokea Kibali cha Ajira Mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu OR- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, chenye Kumb. Na.FA.288/613/01/A/032 cha tarehe 05/02/2024.
Hivyo anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma naomba kwa nafasi zifuatazo.
1.0 MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI MOJA (1)
SIFA ZA MUOMBAJI
- Awe amehitimu kidato cha Nne (IV) au Sita (VI)
- Awe na Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Uhazili ngazi ya Diploma.
- Awe amefaulu Somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 80 kwa dakika
moja. - Awe amepata Mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambulika na Serikali na kupata Cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, E- mail na Publisher.
1.2 KAZI NA MAJUKUMU YA MWANDISHI
MWENDESHA OFISI II
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
- Kusaidia kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kushughulikiwa.
- Kusaidia kutunza taarifa / kumbukumbu za Matukio, Miadi, Wageni, tarehe za vikao,
Safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine zilipangwa kutekelezwa katika Ofisi anayofanyia kazi na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika. - Kusaidia kutatua na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo Ofisini.
- Kusaidia kufikisha maelezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na kumtaarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
- Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
- Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa Kazi.
1.3 NGAZI YA MSHAHARA
Ngazi ya Mshahara ni TGS C
2.0 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – (NAFASI 1)
2.1 SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI).
- Awe na Stashahada (NTA level 6) katika Fani ya Masjala kutoka Vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
2.2 MAJUKUMU YA KAZI.
- Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming
correspondence register); - Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya Taasisi (outgoing correspondence register)
- Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers);
- Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers);
- Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji;
- Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa; na
- Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking).
2.3 NGAZI YA MSHAHARA
i. Ngazi ya mshahara ni TGS C
3.0 MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini;
Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwaajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma; - Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
Mwanasheria/Wakili; - Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya
nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo. - Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne,
- Kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Diploma/Certificates, – Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, -Computer Certificate, -Vyeti vya
kitaaluma (Professional certificates from respective boards) “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA. - Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
- Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi waUmma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
- Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
- Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/04/2024
MUHIMU Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa Mkurugenzi
Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, S.L.P 77 Mkwajuni – Songwe
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment
Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia
inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).
Maombi yatakayowasilishwa nje ya
utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Songwe More Details |
2024-04-03 Login to Apply |
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 1 POST Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Songwe More Details |
2024-04-03 Login to Apply |
Historia
Songwe District is among of the District of Songwe Regional with synonymous name as ‘’Tanzania land of Gold’’
The District has been established in year 2015 following Government note number 433b dated September 25th under United Republic of Government Tanzania Parliament act no. 7/1982 of LOCAL GOVERNMENT [DISTRICT AUTHORITIES] and was split from Chunya District, Mbeya Region, Tanzania
The District is allocated in southern west of Tanzania and has an area of 16,070 kilometers out of which 14, 965 is occupied by land and 1,105 is occupied by water
The District is bordered with the following Districts:-
To the West is bordered with Momba , Milele [Katavi Region] and Sumbawanga [Rukwa Region]
To the East is bordered with Chunya District
To the North is bordered with Sikonge District [Tabora Region]
To the South is bordered with Mbozi District [Mbeya Rural Region]
The District has a has total population of 133,692 people according to censor of 2012 were 67, 603 are Women and 66,189 are Men
The District has 2 Division, 18 wards and 43 villages and has the parliament province which is Songwe
THE ECONOMIC BASE AS TO COMMUNIT MAIN ACTIVITIES ARE:-
Main Economic activities are:-
•Gold mining
•Coal mining
•Agriculture Activities
•Livestock keeping
•Bee keeping
•Fishing Activities
•Tourism
•Forest keeping
According to 2012 censor income per capital of citizen seems to be Tzs. 268,000.00 – 331,000.00 per person per year
Nafasi za kazi rukwa 2024,Nafasi za kazi Geita, Nafasi za Kazi Ileje, ABOOD nafasi za kazi, Nafasi za kazi Tabora, Nafasi za kazi Shinyanga, Nafasi za kazi ICAP Geita,Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya songwe 24-03-2024.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
Tags: Kata za wilaya ya songwe, Nafasi za kazi halmashauri ya Songwe NAFASI ZA KAZI Songwe 2024, NAFASI za Kazi Kutoka Wilaya ya Songwe March 2024, Nafasi za kazi kwenye mabasi ya mikoani 204, NAFASI za kazi SGR Tabora 2024.