SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Kutoka Zanajira March 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 30/03/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Kutoka Zanajira March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Zanajira March 2024, Nafasi Mbalimbali za Kazi Kutoka Zanajira March 2024,Nafasi mbalimbali za kazi kutoka zanajira march 2024 download, Nafasi mbalimbali za kazi kutoka zanajira march 2024 date, Nafasi za kazi Utumishi Zanzibar.

NAFASI za Kazi Kutoka Zanajira March 2024

NAFASI za Kazi Kutoka Zanajira March 2024, Nafasi Mbalimbali za Kazi Kutoka Zanajira March 2024,Nafasi mbalimbali za kazi kutoka zanajira march 2024 download, Nafasi mbalimbali za kazi kutoka zanajira march 2024 date, Nafasi za kazi Utumishi Zanzibar.

POST Mhasibu Daraja la II-PEMBA – 2 POST
EMPLOYER SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC)
APPLICATION TIMELINE: From: 28-03-2024 To: 05-04-2024

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

 • Kuandaa hati za malipo
  Kuandaa taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi.
 • Kufanya usuluhisho wa Hesabu za Benki.
 • Kufanya shughuli zote za kiuhasibu kwenye kitengo cha Hesabu.
 • Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu nay a mwaka.
 • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

 • Awe Mzanzibari
  Asiwe muajiriwa wa Serikali.
 • Awe amemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu, Uongozi wa Fedha au fani nyengine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 • Awe na umri usiozidi miaka 45
  Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION ZPSI-06

CLICK HERE TO APPLY 

POST Mkaguzi wa Ndani Daraja la II-PEMBA – 2 POST
EMPLOYER SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC)
APPLICATION TIMELINE: From: 28-03-2024 To: 05-04-2024

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

 • Kutayarisha na kurikodi karatasi za Ukaguzi.
 • Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka
 • Kukagua mapato na matumizi ya Fedha za Shirika.
 • Kuhakikisha Sheria, Kanuni na Taratibu za masualanya usimamizi wa fedha zinafuatwa katika utekelezaji wa kazi za Shirika
 • Kuhakikisha udhibiti na matumizi mazuri ya fedha na mali za Shirika
 • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

 • Awe Mzanzibari
 • Asiwe muajiriwa wa Serikali.
 • Awe amemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu, Uongozi wa Fedha au fani nyengine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 • Awe na umri usiozidi miaka 45
  Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION ZPSI-06

CLICK HERE TO APPLY

POST Katibu Muhtasi Daraja la III-PEMBA – 1 POST
EMPLOYER SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC)
APPLICATION TIMELINE: From: 28-03-2024 To: 05-04-2024

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

 • Kupiga chapa masuala ya siri, taarifu na nyaraka nyengine
 • Kutunza taarifa, kumbukumbu zamatukio mbalimbali
 • Kupokea na kutuma nukushi
 • Kupokea na kuwakaribisha wageni maalum wa Shirika
 • Kupokea barua na nyaraka za siri na kuziwasilisha kwa mkuu wake wa kazi
 • Kutunza kumbukumbu za wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratiba ya kazi nyengine zilizopangwa
 • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake ya kazi kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

 • Awe Mzanzibari
 • Asiwe muajiriwa wa Serikali.
 • Awe na elimu ya Stashahada katika Uhazili, au fani nyengine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ).
 • Awe na umri usiozidi miaka 45
 • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION ZPSG-08

CLICK HERE TO APPLY

NAFASI za KAZI zilizotangazwa leo
Ajira portal, www.zanajira.go.tz 2024, NAFASI ZA KAZI Mpya Wiki hii, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo Arusha, ZanAjira Portal Register, Nafasi za kazi Dar es Salaam, Tume ya Utumishi Serikalini www zanajira go tz, www.zanajira.go.tz download Pdf.

About Nijuze Habari Blog

About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira.

About Nijuze Habari

About Nijuze Habari Blog, About Nijuze Habari, About Nijuze Habari 24,Nijuze Habari -| Pata Habari zote za Michezo na Usajili, Magazeti, Ratiba na Matokeo na Nafasi Mpya za Ajira, Nijuze Habari 24, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Ratiba.

Nijuze Habari ni Blog ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Habari za Michezo, Nafasi za Ajira Mpya na Tetesi za Usajili.

Nijuze Habari inakuletea Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Nijuze Habari inakuwezesha kutazama Matokeo ya moja kwa moja (LIVE Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC na kwenye michezo ya CAF pamoja na Michezo mingine itakayoshiriki

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

About Nijuze Habari Blog

Nijuze Habari pia inakuletea Matokeo ya NECTA Tanzania na Zanzibar, Yanayojiri Magazetini Kila Siku, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya NECTA Darasa la Nne, Matokeo ya NECTA Darasa la Saba, Matokeo ya NECTA Kidato cha Kwanza, Matokeo ya NECTA Kidato cha Nne, Matokeo ya NECTA ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali, Pamoja Waliochaguliwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza na Kidato Cha Tano.

Pia Nijuze Habari inakuletea taarifa zote Bodi ya Mikopo ya Elimu Juu HESLB, Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku na Taasisi Mbalimbali kama Ajiraportal na Makampuni Mbalimbali, Wanaoitwa Kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Serikalini na Makampuni kila Siku, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *