SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Kazi Mabanda NMB Leo January 2024

Filed in Ajira by on 21/01/2024 0 Comments

NAFASI za Kazi Mabanda NMB Leo January 2024

NAFASI za Kazi Mabanda NMB Leo January 2024, Nafasi za Kazi Mabanda NMB January 2024,NAFASI za Kazi Mabanda NMB  January 2024, Nafasi za Kazi Mabanda NMB - New Era Stationery January 2024, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 login, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 apply, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 application, Nafasi za kazi NMB bank officers.

NAFASI za Kazi Mabanda NMB Leo January 2024

NAFASI za Kazi Mabanda NMB Leo January 2024, Nafasi za Kazi Mabanda NMB – New Era Stationery January 2024, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 login, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 apply, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 application, Nafasi za kazi NMB bank officers.

Mabanda NMb – New Era Stationery ni taasisi iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria ya usajili ya majina ya biashara (The Business Names (Registration) Act (Cap 213) chini ya BRELA –The Business Registration Licensing Agents na kupewa namba za usajili Na: 472735.

Taasisi hii inajihusisha na uchapishaji na uandaaji wa nakala mbalimbali.

Hivyo basi uongozi wa Mabanda NMb – New Era Stationery unawakaribisha watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi, kama zilivyoainishwa katika tangazo hili;

NAFASI za Kazi Mabanda NMB Leo January 2024

KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (WAFANYAKAZI WA STATIONERY) – NAFASI 05

Sifa za kuingilia moja kwa moja:-

 • Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (Form IV) waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya
  Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft office, Internet, E-mail na Publisher.
 • Waombaji walio na uzoefu wa kufanya kazi kwa muda mrefu kwenye stationery mbalimbali watapewa kipaumbele.
 • Umri ni kuanzia miaka 18- 27 kwa jinsia zote kike au kiume.
 • Awe tayari kuhudumia wateja kidigitali ili kuendana na maendeleo ya sayansi na
  teknolojia (Kama mwombaji hataweza kuhudumia kidigitali asiombe kazi hii)
 • Awe mwepesi wa kutumia kompyuta mpakato kwa haraka zaidi.
 • Awe tayari kufanya kazi kuanzia Saa 07:00 Asubuhi hadi 20:00 Usiku kwa siku sita za wiki (Jumatatu – Jumamosi) na Jumapili kuanzia saa 10:00 hadi saa 20:00 Usiku.

NB: Mwombaji kama hataweza kuzingatia au kufika kwa muda elekezi, ASIOMBE KAZI

NAFASI za Kazi Mabanda NMB  January 2024

Kazi/Majukumu ya Kufanya:

 • Kuchapa taarifa na nyaraka mbalimbali za ofisi na za wateja.
 • Kuhudumia wateja katika mahitaji mabalimbali (Photocopy, printing, scanning, passport size, Maombi yote kwa njia ya mtandao)
 • Kusaidia kupokea wageni na kuwasaidia shida zao pamoja na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
 • Kusaidia kutunza taarifa/ kumbukumbu za ofisi na wateja.
 • Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.
 • Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
 • Kusaidia kusambaza nyaraka katika taasisi elekezi – mbalimbali
 • Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

NAFASI za Kazi Mabanda NMB  January 2024, Nafasi za Kazi Mabanda NMB - New Era Stationery January 2024, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 login, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 apply, Nafasi za kazi mabanda nmb january 2024 application, Nafasi za kazi NMB bank officers.MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI:-

 • Waombaji kazi wote waombe kwa kufuata masharti ya TANGAZO LA KAZI,
 • Waombaji kazi wote wawe ni raia wa Tanzania tu.
 • Waombaji wote lazima waambatanishe wasifu binafsi (CV) wenye mawasiliano ya uhakika, anuani, barua pepe na namba za simu

Waombaji lazima waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo;

 • Cheti cha Mafunzo ya Uhazili / Mafunzo ya komyuta.
 • Cheti cha mtihani wa kidato cha nne au sita.
 • Cheti cha kuzaliwa.
 • Hati ya matokeo ya kidato cha nne au sita (Result slip) haitafanyiwa kazi,
 • Kuwasilisha vyeti vya kughushi na maelezo mengine itasababisha kuchukuliwa hatua za
  Kisheria.
 • Waombaji ambao ni Watumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi.
 • Waombaji wasio na sifa ikiwemo na umri hawaruhusiwi kuomba kazi na mwombaji akituma maombi hayatafanyiwa kazi.
 • Waombaji waonyeshe wadhamini wawili na mawasiliano yao, anuani na namba za simu.
 • Waombaji kazi wenye vyeti vya kidato cha nne na cheti cha Taaluma ambavyo vimepatikana nje ya nchi wahakikishe vimehakikiwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) na Baraza la Elimu ya Ufundi la Taifa (NACTE).
 • Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza kwenda Meneja mwajiri, Mabanda NMb New Era Stationery, Bigwa Kisiwani & Misongeni, Morogoro
 • Watakaochaguliwa kufanya usaili watajulishwa tarehe ya usaili (Usaili kwa walio mbali utafanyika kwa njia ya mtandao)
 • Waombaji kazi ambao maombi yao hayatakidhi vigezo vya tangazo hili hayatafanyiwa kazi.

Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 25 Januari 2024 Saa 15:37 Alasiri (Zingatia muda)

Maombi yote yatumwe kwa Email: mabandanmbjob@gmail.com au yaletwe ofisini Bigwa kisiwani (Miti mitatu) au Misongeni, Morogoro Mjini (Mabanda NMb New Era stationery)

Waombaji wote watafanya usaili kwa vitendo (Practical)

Waombaji wote walioko mikoani au mbali na ofisi zetu watafanyiwa usaili kwa njia ya mtandao.

TANGAZO LA AJIRA MABANDA NMB – NEW ERA STATIONERY JANUARY 2024 DOWNLOAD PDF

NAFASI za Kazi Mabanda NMB January 2024, NAFASI ZA KAZI NMB 2024, NMB internship 2024, NMB vacancies January 2024, NMB career portal, NMB portal login, NMB career internship, NMB portal registration, NMB internship 2024 online application, Nijuze Habari Ajira Portal.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *