NAFASI za Kazi Sumve Hospital August 11-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Kazi Sumve Hospital August 11-2024
NAFASI za Kazi Sumve Hospital August 11-2024, Nafasi za Kazi Sumve District Designated Hospital (DDH) August 2024, Hospitali ya Sumve (DDH) imetangaza Nafasi ya Kazi ya Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina Mama na Uzazi (GYNECOLOGIST)
SIFA ZA MWOMBAJI.
Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya udaktari Bingwa (M.Med fani i ya udaktari) kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
Awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika
MASHARTI KWA MWOMBAJI
- Mwombaji awe ni Raia wa Tanzania
- Mwombaji ambatishe cheti cha kuzaliwa
- Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wakuaminika.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vya sekondari
- Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao virnehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
- Picha moja ya rangi “Passport size” ya hivi karibuni, iandikwe jina kamili la mwombaji.
- Barua zote za maombi ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
NAFASI za Kazi Sumve Hospital August 11-2024
Hakikisha unaandika namba yako ya simu ambayo inapatikana muda wote.
Barua za maombi ya kazi ziandikwe kwa Mkono na kutumwa kwa njia ya mkono au baruapepe (email) kupitia anwani ifuatayo:- SUMVE HOSPITAL BOX 23 MANTARE MWANZA, Baruapepe: sumveddh@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 20/08/2024 Watakaochaguliwa usaili utafanyika tarehe 24/08/2024
St Dominic Nyakahoja Mwanza
MSHAHARA: Mshahara utazingatia maelewano