RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Kazi TCRA Tanzania January 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 30/01/2024

NAFASI za Kazi TCRA Tanzania January 2024

NAFASI za Kazi TCRA Tanzania January 2024,Nafasi za kazi tcra tanzania january 2024 application, Nafasi za kazi TCRA 2024, Nafasi Za Kazi TCRA october 2024, TCRA Job vacancies, TCRA Jobs 2024.

NAFASI za Kazi TCRA Tanzania January 2024

NAFASI za Kazi TCRA Tanzania January 2024,Nafasi za kazi tcra tanzania january 2024 application, Nafasi za kazi TCRA 2024, Nafasi Za Kazi TCRA october 2024, TCRA Job vacancies, TCRA Jobs 2024.

RATIBA ya Robo Fainali AFCON 2023/2024

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni mwanachama wa Shirika la Kimataifa la Mawasiliano (ITU) kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama Mwanachama wa ITU, TCRA imepokea fursa kutoka ITU ya kupendekeza watanzania watakaokidhi vigezo vya nafasi ya ujumbe katika Baraza wakilishi la Vijana la ITU (ITU Generation Connect Envoy).

Waombaji wa nafasi hiyo wanapaswa kuwa watanzania wenye umri kati ya miaka 18 na 24 ambao wanashauku ya kuwa sehemu ya Baraza tajwa.

Waombaji wanatakiwa kueleza na kutoa Ushahidi wa kujitolea na kushiriki kwao katika kutumia TEHAMA kwa malengo ya kielimu, maendeleo ya kijamii na uchumi, au uwezeshaji wa vijana.

NAFASI za Kazi TCRA Tanzania January 2024,Nafasi za kazi tcra tanzania january 2024 application, Nafasi za kazi TCRA 2024, Nafasi Za Kazi TCRA october 2024, TCRA Job vacancies, TCRA Jobs 2024.Kujitolea huko kunaweza kudhihirishwa kwa njia nyingi, kama vile kupata na kusambaza maarifa, kushiriki katika shughuli za kijamii zinazohusisha TEHAMA, au kubuni, kutengeneza, na kuendesha programu maalum (pamoja na zile zinazoendelea) au miradi yenye kuleta tija kijamii, kitaifa, kikanda, au kimataifa.

Kwa waombaji wanaopenda kuchukua fursa hii, tafadhali wawasilishe maombi yao kwa TCRA kupitia anwani ya barua pepe ya [email protected] kabla au ifikapo Jumapili, Februari 4, 2024.

Aidha, kulingana na vigezo tajwa, waombaji wanne (4) watachaguliwa na TCRA na kupendekezwa ITU ili washiriki kuomba nafasi ya ujumbe moja kwa moja katika Baraza wakilishi la Vijana la Shirika la Kimataifa la Mawasiliano kabla ya Jumamosi, Februari 10, 2024.

TCRA inawahimiza wadau wote, ikiwa ni pamoja na wanachama wa vilabu vya kidijiti, Sekta binafsi, Vyuo vikuu, vituo vya uvumbuzi, na taasisi za Umma, kuhimiza watu wanaokidhi sifa hizi kuomba nafasi hii.

Maelezo zaidi kuhusu fursa hii
bonyeza HAPA au unaweza kuwasiliana na TCRA kupitia namba 0800008272 au barua pepe [email protected].

Ukomo wa mawasilisho yote ni Jumapili ya Februari 4, 2024.

NAFASI ZA KAZI TCRA TANZANIA JANUARY 2024 DOWNLOAD PDF

TCRA online registration, Mkurugenzi tcra, TCRA Portal, TCRA news, Tcra huduma kwa wateja, TCRA organization structure, TCRA Whatsapp number.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Comments are closed.