NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024
NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024, New Government Jobs Dodoma at MPWAPWA District Council March 2024,New Jobs at Mpwapwa District Council,Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa March 2024, MTENDAJI WA KIJIJI III at Mpwapwa District Council March 2024, Nafasi za kazi mtendaji wa mtaa Kijiji na kata AJIRA.
POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
APPLICATION TIMELINE: 2024-03-07 2024-03-21
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji
- Katibu wa Kamati ya kijiji
- Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji
- Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji.
- Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji
- Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
- Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji.
- Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi.
- Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B
CLICK HERE TO APPLY
NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024
Historia
Jiografia ya wilaya ya Mpwapwa
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ni miongoni mwa Halmashauri nane (8) za Mkoa wa Dodoma. Makao makuu yapo umbali wa km.120 kutoka makao makuu ya Mkoa wa Dodoma.
Halmashauri ipo kati ya latitude 6°00” na 7°00” Kusini mwa mstari wa Ikweta na Longitudo 35°45” na 35°00” Mashariki mwa mstari wa ‘Greenwich’.
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa upande wa kaskazini, Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa upande wa magharibi. Upande wa mashariki inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa (mkoa wa Morogoro) na kusini inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Iringa (Mkoa wa Iringa).
Ukubwa wa eneo
Wilaya ina eneo la kilometa za mraba 7,479 sawa na (18.35%) ya eneo lote la Mkoa wa Dodoma. Eneo hili ambalo ni sawa na hekta 737,900 linatumika kwa shuguli za kilimo, ufugaji, hifadhi ya misitu na makazi
Muundo wa Halmashauri ya Wilaya Kiutawala
Halmashauri ya Wilaya ina Majimbo 2 ya Uchaguzi, Tarafa 4, Kata 33, Vijiji 113, Vitongoji 575 na Mitaa 18.
Idadi ya Watu
Kutokana na Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 Halmashauri ya Wilaya ilikadiriwa kuwa na wakazi 305,056 ambapo Wanaume wakiwa 147,306 (48.3%), Wanawake 157,750 (51.7%) na Kaya 66,316. Aidha, kwa mwaka 2016 kwa kutumia ukuaji wa asilimia 2.1, inakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 331,500 kati yao Wanaume 162,435, na Wanawake 169,065 wanaoishi katika Kaya 72,065. Mgawanyo wa idadi ya watu kitarafa kwa ulinganisho wa Idadi ya Watu Matokeo ya Sensa ya Mwaka 2012 na makadirio ya watu mwaka 2016
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania March 06-2024
- USAJILI wa Watahiniwa wa Kujitegemea CSEE NA FTNA 2024
- RITA Uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa na Vifo
- JINSI ya Kuangalia Majibu ya Uhakiki RITA
- RITA Utaratibu na Muongozo wa Kuhakiki Vyeti HESLB
- RITA Uhakiki wa Online System 2023/2024
- FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo
- JINSI ya Kupata Police Loss Report Online
- AINA za Madaraja ya Leseni za Udereva
- JINSI ya Kupata Leseni ya Biashara Online
- JINSI ya Kupata TIN Number Online
- JINSI ya Kulipia Vifurushi vya Azam TV
- OUT yakaribisha maombi ya Udahili Muhula wa Kwanza 2023/2024
- MO Dewji Tajiri namba 12 Barani Africa 2024
- FOMU ya Maombi ya Kujiunga na VETA Tanzania 2024
- ORODHA ya Vyuo vya Ualimu Tanzania
- MFUMO wa Maombi ya Ajira Za Walimu OTEAS 2024/2025
- MSIMAMO NBC Championship 2023/2024
- Haya hapa Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- SHULE 10 Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/2024
- MATOKEO Ya Darasa la Nne 2023/2024
- MATOKEO ya Kidato Cha Pili 2023/2024
- JINSI ya Kuangalia Matokeo Kidato Cha Nne 2023/2024
- ADA za Lipa kwa Airtel Mitandao Yote
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024
- TETESI Za Usajili Yanga SC Dirisha Dogo 2023/2024
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ORODHA ya Vilabu Bora Afrika November 2023 (IFFHS Club Ranking)
- MSIMAMO Kundi D CAF Champions League 2023/2024
- MSIMAMO Wa Kundi B CAF Champions League Standings 2023/2024
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- MSIMAMO NBC Premier League 2023/2024
- WAFUNGAJI Wanaoongoza Magoli NBC Premier League 2023/2024
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- RATIBA Kamili Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu ya NBC 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England (EPL 2023/2024)
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: MTENDAJI WA KIJIJI III at Mpwapwa District Council March 2024, Nafasi za kazi mtendaji wa mtaa Kijiji na kata AJIRA., NAFASI za Kazi Wilaya ya Mpwapwa March 2024, New Government Jobs Dodoma at MPWAPWA District Council March 2024, New Jobs at Mpwapwa District Council, Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa March 2024