RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 23-2024

Filed in Ajira, Michezo by on 24/01/2024

NAFASI za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 23-2024

NAFASI za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 23-2024,  Tangazo la Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia 23-01-2024, nafasi za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 2024, Habari mpya kutoka wizara ya elimu.

NAFASI za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 23-2024

NAFASI za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 23-2024,  Tangazo la Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia 23-01-2024, nafasi za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 2024, Habari mpya kutoka wizara ya elimu, Tangazo la Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Serikali 23-01-2024.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hamsini na nane (58) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII (UMEME) – NAFASI 15
MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha masomo ya fani ya Umeme katika Vyuo;
  • Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
  • Kusimamia masomo ya vitendo;
  • Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
  • Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
  • Kuandaa muhtasari wa masomo;
  • Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
  • Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
  • Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
  • Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Umeme kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: TGS C
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II (MAGARI) – NAFASI 10

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha masomo ya fani ya Magari katika Vyuo;
  • Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
  • Kusimamia masomo ya vitendo;
  • Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
  • Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
  • Kuandaa muhtasari wa masomo;
  • Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
  • Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
  • Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
  • Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada katika fani ya Magari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

NAFASI za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 23-2024,  Tangazo la Nafasi za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia 23-01-2024, nafasi za Kazi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia January 2024, Habari mpya kutoka wizara ya elimu.NGAZI YA MSHAHARA: TGS C
MKUFUNZI II (MAENDELEO YA JAMII) – NAFASI 5

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  • Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  • Kutunza vifaa vya kufundishia;
    Kufanya na kutoa taarifa za utafiti
  • Kutoa ushauri wa kitaalam;
  • Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  • Kutunga na kusahihisha mitihani;
  • Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  • Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

SIFA ZA MWOMBAJI

Mwombaji awe na Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza ya Maendeleo ya Jamii kutoka katika Vyuo au Taasisi za elimu ya juu zinazotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: TGS D

MKUFUNZI II (UALIMU WA BAIOLOJIA) – NAFASI 2

MAJUKUMU YA KAZI

  • Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  • Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  • Kutunza vifaa vya kufundishia;
  • Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  • Kutoa ushauri wa kitaalam;
  • Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  • Kutunga na kusahihisha mitihani;
  • Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  • Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

SIFA ZA MWOMBAJI

Mwombaji awe na Stashahada ya Juu au Shahada ya kwanza ya Ualimu katika somo la Biolojia kutoka katika Vyuo au Taasisi za elimu ya juu zinazotambuliwa na Serikali.

CLICK HERE TO APPLY 

Ajira WIZARA YA ELIMU, Taisemi wizara ya elimu, Nafasi za kazi taasisi ya elimu Tanzania, Ajira portal, Muundo wa wizara ya elimu, Waziri wa elimu mpya, Nafasi za kazi wizara ya elimu 2024,Jinsi ya kuapply kazi online, Nafasi za ukaguzi wa shule 2024, Sifa za wathibiti ubora wa shule, WIZARA ya elimu Tanzania scholarship 2024, Ajiraportal24.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Tags: , , , , ,

Comments are closed.