NAFASI za Madereva Kutoka Wilaya ya Mbulu May 27-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Madereva Kutoka Wilaya ya Mbulu May 27-2024
NAFASI za Madereva Kutoka Wilaya ya Mbulu May 27-2024, Nafasi za Madereva Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu May 27-2024, Nafasi za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu May 24-2024, Nafasi za Madereva May 2024.
POST DEREVA DARAJA II – 1 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu
APPLICATION TIMELINE: 2024-05-27 2024-06-10
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
- Kufanya usafi wa gari; na
- Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
POST: DEREVA DARAJA II – 1 POST Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu More Details |
2024-06-10 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Nafasi za Madereva Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu May 24-2024., Nafasi za Madereva Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu May 27-2024, NAFASI za Madereva Kutoka Wilaya ya Mbulu May 27-2024