NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mara July 06-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mara July 06-2024
NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mara July 06-2024, Ajira za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mkoa wa Mara July 06-2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mkoa wa Mara July 06-2024, Ajira Mpya za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mara July 06-2024.
POST | MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 1 POST |
EMPLOYER | Mkoa wa Mara |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-07-06 2024-07-19 |
JOB SUMMARY | N/A |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya Wilaya (Electronical Equipments).
ii.Kutunza kumbukumbu za kazi za ufundi na matengenezo ya vifaa tiba. iii.Kufanya matengenezo ya kinga ya vifaa tiba. iv.Kuagiza vipuli vya vifaa tiba. v.Kuandaa bajeti ya huduma za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya. vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa waliohitimu wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania. |
REMUNERATION | TGHS D |
POST: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 1 POST Employer: Mkoa wa Mara More Details |
2024-07-19 Login to Apply |
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Ajira Mpya za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mara July 06-2024., Ajira za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mkoa wa Mara July 06-2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mkoa wa Mara July 06-2024, NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mara July 06-2024