RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mwanza July 06-2024

Filed in Ajira by on 06/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mwanza July 06-2024

NAFASI za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mwanza July 06-2024, Nafasi za Kazi za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mwanza July 06-2024, Ajira Mpya za Mhandisi Vifaa Tiba Mkoa wa Mwanza July 06-2024, Ajira za Mhandisi Vifaa Tiba Kutoka Mkoa wa Mwanza July 06-2024.

POST MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II) – 2 POST
EMPLOYER Mkoa wa Mwanza
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-06 2024-07-19
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya Wilaya (Electronical Equipments).

ii.Kutunza kumbukumbu za kazi za ufundi na matengenezo ya vifaa tiba.

iii.Kufanya matengenezo ya kinga ya vifaa tiba.

iv.Kuagiza vipuli vya vifaa tiba.

v.Kuandaa bajeti ya huduma za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya.

vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa waliohitimu wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania.
REMUNERATION TGHS D

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Comments are closed.