RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Msaidizi Wa Kumbukumbu kutoka Wilaya ya Kishapu July 04-2024

Filed in Ajira by on 04/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI za Msaidizi Wa Kumbukumbu kutoka Wilaya ya Kishapu July 04-2024

NAFASI za Msaidizi Wa Kumbukumbu kutoka Wilaya ya Kishapu July 04-2024, Nafasi za Kazi za Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II kutoka Wilaya ya Kishapu July 04-2024, Ajira za Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la ll kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu July 04-2024.

NAFASI za Msaidizi Wa Kumbukumbu kutoka Wilaya ya Kishapu July 04-2024

NAFASI za Msaidizi Wa Kumbukumbu kutoka Wilaya ya Kishapu July 04-2024, Nafasi za Kazi za Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II kutoka Wilaya ya Kishapu July 04-2024, Ajira za Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la ll kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu July 04-2024.

Kwa mujibu wa kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu anawatangazia wananchi wote Raia wa Tanzania kuomba nafasi za Kazi zifuatazo:-

✅MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II (NAFASI 3)

SIFA ZA MWOMBAJI
Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI). Awe na
Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

KAZI NA MAJUKUMU ZA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II

  • Wasaidizi wa Kumbukumbu watafanya kazi kama vile uhifadhi wa nyaraka uhifadhi wa kumbukumbu za Afya, Ardhi, Mahakamani na Masjala za kawaida.
  • Daraja hili la mafunzo katika kazi, hivyo anafanya kazi kwa maelekezo ya Wasaidizi wa Kumbukumbu walio juu yake. Kazi atakazojifunza na kufanya ni zile zifanywazo na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la I.
  • Kutafuta Kumbukumbu/nyaraka /mafaili yanayohitajika na wasomaji
  • Kuthibiti upokeaji, uandikishaji wa Kumbukumbu/Nyaraka
  • Kuchambua, kuorodhesha na kupanga Kumbukumbu/nyarakKuweka na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika reki (file racks) cabinet katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
  • Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili
  • Kushughulikia maombi ya Kumbukumbu/ nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C

MASHARTI YA JUMLA

  • Mwombaji awe Raia wa Tanzania ambaye ana umri si zaidi ya Miaka 45 na sio pungufu ya Miaka 18.
  • Mwombaji aambatishe nakala ya Cheti cha kuzaliwa.
  • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya Wadhamini (referees) watatu wa kuaminika pamoja na namba zao za Simu.
  • Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya Elimu na taaluma kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, na vilivyothibitishwa na Wakili au
    Kamishna wa Viapo.
  • Testimonials, provision results, statement of results, havitakubaliwa
  • Waombaji wote ambao wamesoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao
    vinafanyiwa ulinganishi na TCU na NACTE.
  • Waomabji waambatanishe picha moja passport size ya hivi karibuni
  • Barua ya Maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kingereza

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 17 Julai, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.L.P 1288,
KISHAPU.

Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye Mfumo wa Kieletroniki wa Ajira
(Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/ anuani
hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Secretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu
iliyoandikwa “Recruitment Portal”

Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioanishwa katika tangazo hili
HAYATAFIKIRIWA.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments are closed.