RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NAFASI za Mteknolojia Dawa Bungeni July 2024

Filed in Ajira by on 20/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NAFASI za Mteknolojia Dawa Bungeni July 2024

NAFASI za Mteknolojia Dawa Bungeni July 2024

NAFASI za Mteknolojia Dawa Bungeni July 2024

NAFASI za Mteknolojia Dawa Bungeni July 2024,parliament of tanzania jobs,The National Assembly of Tanzania and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania.

✅MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA LA II – NAFASI 1

KAZI NA MAJUKUMU YA MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA LA II

  • Kuainisha, kuandaa na kuagiza mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi;
  • Kugawa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa kulingana na maelekezo ya Daktari;
  • Kuchanganya na kutayarisha dawa;
  • Kuhifadhi dawa na vifaa tiba;
  • Kuelimisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa;
  • Kukagua dawa, vifaa tiba na vitendanishi katika eneo lake la kazi;
  • Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa;
  • Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba;
  • Kufanya uchunguzi wa ubora wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi;
  • Kufanya kaguzi mbalimbali katika sehemu zinazohifadhi dawa;
  • Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba; na
  • Kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi.

SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji awe na Stashahada (Diploma) ya Uteknolojia ya muda wa miaka
mitatu (3) katika fani ya dawa kutoka Chuo cha Afya kinachotambuliwa na
Serikali, awe amesajiliwa na Baraza la Famasi pia awe na Leseni hai ya
kazi.

NGAZI YA MSHAHARA: Ngazi ya mshahara ni TGHS B

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags: , ,

Comments are closed.