NAFASI za Usimamizi wa Biashara Kutoka Max Out Foundation June 21-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Usimamizi wa Biashara Kutoka Max Out Foundation June 21-2024
NAFASI za Usimamizi wa Biashara Kutoka Max Out Foundation June 21-2024, Taasisi ya Max Out Foundation inayojihusisha na Uuzaji wa Lishe Tiba inatangaza nafasi 5 za kazi za Usimamizi wa Biashara kwa Vijana mwenye ujuzi wa Biashara.
Kama wewe ni Kijana Mbunifu, Mwenye Uzoefu, na Unapenda Kujifunza, basi hii ni Fursa kwako!
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Elimu: Angalau kidato cha nne (Form Four) hadi elimu ya juu.
- Uzoefu: Uzoefu wa kufanya kazi katika usimamizi wa biashara ni faida.
- Ujuzi: Uwezo wa kusimamia rasilimali na wafanyakazi.
- Ujuzi wa kufanya maamuzi ya kimkakati.
- Uwezo wa kubuni na kutekeleza mikakati ya ukuaji wa biashara.
- Mawasiliano: Uwezo wa kuwasiliana vizuri na wafanyakazi na wateja.
- Ubunifu: Uwezo wa kutatua Changamoto kwa njia mpya na Ubunifu.
VIGEZO;
Muombaji anatakiwa kuambatanisha vitu vifuatavyo siku ya Usahihi;
- Awe na Kitambulisho Cha Taifa (NIDA) au
- Kitambulisho Cha Mpiga Kura au
- Leseni ya Udereva.
- Awe na Barua ya Utambulisho Kutoka Serikali ya Mtaa.
Location: Iringa
Mwisho wa kutuma maombi ni Juni 28-2024
Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma maombi yako kupitia namba +255 773 276 646 au barua pepe kwa anwani ifuatayo: maxoutfoundatiorecruital@gmail.com.
NAFASI ZA USIMAMIZI WA BIASHARA MAX OUT FOUNDATION DONWLOAD PDF
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NAFASI za Usimamizi wa Biashara Kutoka Max Out Foundation June 21-2024