SELECTION ZA FORM FIVE NA VYUO VYA KATI 2024 BONYEZA HAPA


MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2023/24 BONYEZA HAPA


RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2023/2024 BONYEZA HAPA


JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2024 BONYEZA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA


NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024

Filed in Ajira, Michezo by on 27/04/2024 84 Comments

NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024

NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024, NAFASI za Watendaji na Waandishi Daftari la Kudumu la Wapiga Kura NEC 2024, NAFASI za Watendaji na Waandishi Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC 2024,Maana ya tume ya uchaguzi,Kazi za tume ya taifa ya uchaguzi 2024,Nafasi za kazi Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2024, Tume ya uchaguzi tanzania,Ofisi za nec dar es salaam,Tume ya uchaguzi zanzibar,Nafasi za kazi tume ya uchaguzi 2024,TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TUME YA UCHAGUZI TANZANIA 2024,Maana ya tume ya uchaguzi.

NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024

NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024, NAFASI za Watendaji na Waandishi Daftari la Kudumu la Wapiga Kura NEC 2024, NAFASI za Watendaji na Waandishi Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC 2024,Maana ya tume ya uchaguzi,Kazi za tume ya taifa ya uchaguzi 2024,Nafasi za kazi Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2024.

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Kwa madhumuni ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kwa kuzingatia masharti i ya kifungu cha 7 (4) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 Mkurugenzi wa Uchaguzi anakaribisha maombi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki.

SIFA ZA MWOMBAJI WA NAFASI YA MWANDISHI MSAIDIZI

 • Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
 • Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza;
 • Awe mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta au simu janja (Smartphone);
 • Awe ni mkazi wa mtaa au kijiji katika kata anayoomba kuwa mwandishi msaidizi;
 • Asiwe kiongozi au kada wa chama cha siasa; na
 • Awe ni mwadilifu na mtiifu.

SIFA ZA MWOMBAJI WA NAFASI YA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

 • Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
 • Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza;
 • Awe mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta au simu janja (Smartphone);
 • Awe ni mkazi wa mtaa au kijiji katika kata anayoomba kuwa mwendeshaji wa kifaa cha bayometriki;
 • Asiwe kiongozi au kada wa chama cha siasa; na
 • Awe ni mwadilifu na mtiifu.

MALIPO
Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-

 • Kwa siku za uboreshaji wa Daftari vituoni waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki watalipwa posho ya Shilingi 50,000/= kwa siku na nauli Shilingi 10,000/=.
 • Wakati wa mafunzo, waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki watalipwa posho ya Shilingi 50,000/= na nauli Shilingi 10,000/= kwa kila siku ya mafunzo.
 • NAFASI za Kazi Kutoka Ajiraportal April 2024

NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024, NAFASI za Watendaji na Waandishi Daftari la Kudumu la Wapiga Kura NEC 2024, NAFASI za Watendaji na Waandishi Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC 2024,Maana ya tume ya uchaguzi,Kazi za tume ya taifa ya uchaguzi 2024,Nafasi za kazi Kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2024, Tume ya uchaguzi tanzania,Ofisi za nec dar es salaam,Tume ya uchaguzi zanzibar,Nafasi za kazi tume ya uchaguzi 2024,TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TUME YA UCHAGUZI TANZANIA 2024,Maana ya tume ya uchaguzi.MASHARTI YA JUMLA

 • Mwombaji lazima aainishe nafasi anayoomba pamoja na kata anayoomba kufanyia kazi.
 • Mwombaji aambatishe: – nakala ya vyeti vya Elimu ya Sekondari na Taaluma vinavyohitajika kulingana na kada husika kama vilivyofafanuliwa katika Tangazo hili.
 • Wasifu (CV) ukionesha anuani yake ya makazi, namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini wake wawili.
 • picha mbili zenye ukubwa sawa na Picha iliyomo kwenye pasi ya kusafiria (Passport size) za hivi karibuni.
 • Barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wa serikali ya mtaa au kijiji katika eneo analoishi.
 • Mwombaji ambaye ni mtumishi wa umma apitishe barua yake ya maombi kwa mwajiri wake.

MWOMBAJI ATAKAYEBAINIKA KUWASILISHA TAARIFA ZA KUGHUSHI ATACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.

Barua zote za maombi ziandikwe kwa anuani ifuatayo: –
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Uchaguzi House,
Eneo la Uwekezaji Njedengwa,
Kitalu D, Kiwanja Na.4,
5 Barabara ya Uchaguzi,
S.L.P. 358,
41107 DODOMA.

ILI KURAHISISHA UTUMAJI WA MAOMBI, BARUA ZOTE ZIKIWA ZIMEFUNGWA ZIPELEKWE KWA MTENDAJI WA KATA AMBAYE ATAZIPOKEA NA KUZIWASILISHA KWA MKURUGENZI WA
HALMASHAURI
MWISHO WA KUWASILISHA MAOMBI NI TAREHE 27 APRILI, 2024

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA-ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA DONWLOAD PDF DOCUMENT

NAFASI za Watendaji na Waandishi Tume ya Uchaguzi NEC 2024


MUUNDO WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na

Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au

Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni

mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu

anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2)

ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha

4(1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha

Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) na Wajumbe wengine

wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia na

kuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri

ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.

Tume ina jumla ya Wajumbe saba (7), kama inavyoonesha hapa chini:-

Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Na. Jina Wadhifa

 1. Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele, Mwenyekiti
 2. Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk, Makamu Mweyekiti
 3. Mhe. Jaji Asina Abdillah Omari, Mjumbe
 4. Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri, Mjumbe
 5. Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira, Mjumbe
 6. Mhe. Jaji Rufaa Mwanaisha Athuman Kwariko, Mjumbe
 7. Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar, Mjumbe

Wajumbe wa Tume hukaa Madarakani kwa kipindi cha miaka mitano tangu

kuteuliwa kwao, lakini Rais anaweza kuwateua tena kwa kipindi kingine kadri

atakavyoona inafaa.

Katika utekelezaji wa majukumu yake, Tume husaidiwa na Sekretarieti

inayoongozwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye ndiye Mtendaji Mkuu na Katibu

wa Tume. Kwa sasa Mkurugenzi wa Uchaguzi ni Ndugu Kailima, R.K.

Aidha, Tume ina Idara 6, Ofisi ya Zanzibar na Vitengo 3 kama ifuatavyo:-

(i) Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi;

Majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Uchaguzi

(ii) Idara ya Daftari na TEHAMA;

Majukumu ya Idara ya Daftari na TEHAMA

(iii) Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura;

Majukumu ya Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura

(iv) Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu;

Majukumu ya Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu

(v) Idara ya Mipango Ufuatiliaji na Tathmini;

Majukumu ya Idara ya Mipango Ufuatiliaji na Tathmini

(vi) Idara ya Usimamizi wa Manunuzi na Lojistiki;

Majukumu ya Idara ya Usimamizi wa Manunuzi na Lojistiki

(vii) Kitengo cha Huduma za Sheria

Majukumu ya Kitengo cha Huduma za Sheria

(viii) Ofisi ya Zanzibar;

Majukumu ya Ofisi ya Zanzibar

(ix) Kitengo cha Fedha na Uhasibu; na

Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu; na

(x) Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani;

Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , , , , , , , ,

Comments (84)

Trackback URL | Comments RSS Feed

 1. NINAOMBA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFUTAALI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NINA ELIMU YA KIDATO CHA NNE

 2. Abdul suma says:

  NINA OMBA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KULA NINA ELIM YA KIDATO CHA NNE

 3. Abdul suma says:

  NINAOMBA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTAR LA KUDUM LA KUPIGA KULA

 4. Abdul suma says:

  NINAOMBA NAFAS YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTAR LA KUDUMU LA MPIGA KURA NINA ELIMU YA KIDATO CHA NNE

 5. Daudi says:

  Kazi itakuwa ya muda Gani mbn haijaainishwa?

 6. Tunashukuru kwa nafasi hii ya utendaji

 7. Tunamshukuru Mheshimiwa rais Dr SAMIA SULUHU HASSAN kwa nafasi hii ya utendaji

 8. Raymond Respicius says:

  Naomba kazi yoyote katika sekita hiyo

 9. Surehya Amiry says:

  NAOMBA NAFASI YA KAZI YA MUDA WAKUANDKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NINA ELIMU YA KIDATO CHA NNE

 10. Elizabeth moris mhagama says:

  NINAOMBANNAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKIAHA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA ELIMU YANGU NI CHUO CHA KATI

 11. Naomba nafas ya kazi yakuandikisha dafutari lakudum lawapiga kula

 12. Ninaomba nafasi ya kazi ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura nina elimu ya kidato cha nne na pia nimwanafunzi wa certificate ya psychology chuo kikuu cha iringa .asanteeh

 13. Ninaomba nafasi yakazi ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura elimu ni kidato channe na pia nimwanafunzii wa chuo kikuu cha iringa ngazi certificate ya psychology

 14. Ninaomba nafasi ya kazi ya kuandikisha daftari lakudumu la wapiga kura katika kata ya nduli elimu ni kidato cha nne pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha iringa ngazi ya certificateya psychology

 15. Nyamweko Prisca Vicent says:

  Nyamweko Prisca Vicent Ninaomba nafasisi ya kazi ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura.wilaya ya kahama kata ya mwendakulima.Elimu yangu ni stashahada ya ugavi na ununuzi

 16. Naomba kazi ya uhandikishaji nipo chamaz

  • Japhety Mourice Everesty says:

   Naomba kazi ya muda ya kuandikisha daftari la kuudumu la mpiga kura wilaya ya Rorya mkoa wa Mara Elimu yangu kidato Cha nne Nina uzoefu wa kutumia kompyuta na simu janja

 17. Cardio sanga says:

  Ninaomba nafasi ya kazi ya kuandikisha daftri la kudumu la wapiga kura elimu ni kidato cha nne

 18. Cardio sanga says:

  Ninaomba nafasi ya kazi ya kuandikisha daftri la kudumu la wapiga kula elimu yangu kidato cha nne

 19. Zainabu omari iddy says:

  Ninaomba nafasi ya Kaz ya uandishi usaidiz katika daftari la kudumu la wapiga kura katika wilaya ya ubungo kata ya azimio.Pia Nimehitimu elimu ya kidato Cha nne na kutunukiwa cheti

 20. Daniele Joseph Kachele says:

  Ninaomba nafasi ya kazi ya kuandikisha daftali la kudumu la wapiga kura Elimu yangu ni kidato cha nne na pia nina uzoefu wa kutumia compyuta na smart phone nipo Mkoa wa Rukwa Wilaya ya Kalambo Kata ya Lyowa Kijiji cha Keleni.namba yangu ya simu ni 0762286737

 21. Lazaro aminieli Lazaro says:

  Kwa majina naitwa Lazaro aminieli Lazaro, mwenye umri wa miaka 21 naishi Arushajiji wilaya morombo Kata ya murieti nna elimu ya chuo cha Kati nlikua naomba nafasi ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura

 22. Swaum Yusuph says:

  KWA MAJINA NAITWA SWAUMU SAID YUSUPH,MWENYE UMRI WA MIAKA 21 NAISHI KIGAMBONI MKOA WA DAR ES SALAAM, NAOMBA NAFASI YAKUANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA KATA YA KIGAMBONI, KWA MUJIBU WA TANGAZO NIMEKIZI VIGEZO NA UZOEFU PIA WAKUTOSHA, ELIMU YANGU NI ASTASHAHADA YA MAENDELEO YA JAMII, NAMBA YA SIMU 0683454030

  • KWA MAJINA NAITWA HAPPINESS MOSES PETRO NINA UMRI WA MIAKA 21 NINAISHI GONGO LA MBOTO MKOA WA DAR ES SALAAM NAOMBA NAGASI YA KUANDIKISHA DAFTARI LAKUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA KATA YA GONGO LA MBOTO KWA MUJIBU WA TANGAZO NAAMINi NIMEKIDHI VIGEZO ELIMU YANGU NIPO CHUO NACHUKUA STASHAHADA YA MTAALAMU WA DAWA(PHARMACIA) NAMBA YA SIMU 0763982046

 23. Japhety Mourice Everesty says:

  Naomba nafasi ya muda ya kuandikisha daftari ya mpiga kura Wilaya ya Rorya mkoa wa Mara Elimu yangu form four pia na uzoefu wa kutumia kompyuta na simu janja no 0622003771

 24. Nafasi ya kuandikisha wapiga kura

 25. Naomba nafasi ya kuandikisha daftari la mpiga kura elimu yangu nipo chuo. Makaazi ya kudumu ni BIHARAMULO. KANIHA.

 26. KWA MAJINA NAITWA PIO BAHATI NDAIGA NINA UMRI WA MIAKA 21 NINAISHI WILAYA DODOMA MJINI MKOA WA DODOMA NAOMBA NAFASI YA KUANDIKISHA DAFTALI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA KATA YA KIZOTA KWA MJIBU WA TANGAZO NAAMINI NIMEKIZI VIGEZO ELIMU YANGU NI (FORM FOUR)
  NAMBA YA SIMU<<<<0627376591 AU 0684563703

 27. KWA MAJINA NAITWA PIO BAHATI NDAIGA NINA UMRI WA MIAKA 21 NINAISHI WILAYA DODOMA MJINI MKOA WA DODOMA NAOMBA NAFASI YA KUANDIKISHA DAFTALI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA KATA YA KIZOTA KWA MJIBU WA TANGAZO NAAMINI NIMEKIZI VIGEZO ELIMU YANGU NI (FORM FOUR)
  NAMBA YA SIMU<<<<0627376591 AU 0684563703

 28. KWA MAJINA NAITWA PIO BAHATI NDAIGA NINA UMRI WA MIAKA 21 NINAISHI WILAYA DODOMA MJINI MKOA WA DODOMA NAOMBA NAFASI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTALI LA WAPIGA KURA KATIKA KATA YA KIZOTA KWA MJIBU WA TANGAZO NAAMINI NIMEKIZI VIGEZO ELIMU YANGU NI (FORM FOUR)
  NAMBA YA SIMU<<<<0627376591 AU 0684563703

 29. Felister James Wilson says:

  Kwa majina naitwa Felister Wilson .Elimu yangu ni shahada ya uhasibu na fedha nina umri wa miaka 24 ninaishi wilaya ya ilala Dar es salaam naomba nafasi ya muda ya kuandikisha daftari la wapiga kura katika kata ya mogo.Ninaweza kutumia computa na simu janja, ni mtanzania pia sio kiongozi
  Namba ya simu 0742858499

 30. ARTHUR ALEX MAJONDA says:

  Kwa majina naitwa Arthur alex manjonda
  Nina umri wa miaka 38 Ninaishi Wilaya ya Shinyanga Mjini Kata ya Ibinzamata Ninaomba Nafasi ya muda ya Uandikishaji Daftari la Mpiga kura katika Kata ya Ibinzamata.
  Elimu Kidato cha Nne
  Simu 0759649657
  Wako katika kazi ya kujenga ARTHUR ALEX MANJONDA

 31. Flora Gosbert prosper says:

  NAITWA FLORA GOSBERT PROSPER, NINA UMRI WA MIAKA 28, KUTOKA TABORA- IGUNGA,
  ELIMU YANGU CHUO. NINAOMBA KAZI YA KUANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGAKURA KATIKA WILAYA YA IGUNGA KATA YA NKINGA. KWA MUJIBU WA TANGAZO NAAMINI NIMEKIZI VIGEZO HIVYO. No simu 0765639491

 32. Flora Gosbert prosper says:

  NAITWA FLORA GOSBERT PROSPER,NINA UMRI WA MIAKA 28,
  MKAZI WA TABORA- IGUNGA- NKINGA. NINAOMBA KAZI YA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA KATIKA KATA YA NKINGA. KWA MUJIBU WA TANGAZO NIMEKIZI VIGEZO, ELIMU YANGU NI CHUO, NAJUA COMPUTER NA SIMU VIZURI
  NO 0765639491

  • Naitwa Mwaza Hussein isale ni mtanzania alisi ninaumli wa miaka 26 nimemaliza from 4.
   Na nimkazi wa Tabora kaliua nilikua naomba kazi ya uandikishaji daftari la wapiga kula katika wilaya ya kaliua nkwamujibu wa tangazo nimekizi vigezo na mashraiti na ninajua computer na cm ya smart phone naimani mtanipa fulsa nambali ya cm ni 0683969653

 33. Lukaka Silinze Julius says:

  KWA MAJINA NAITWA Lukaka Silinze Julius
  NINA UMRI WA MIAKA : 25
  NINAISHI HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI, MKOA WA :Dar es salaam.
  MIMI NI: MTANZANIA
  KIWANGO CHA ELIMU NI FUNDI SANIFU WA DAWA (mfamasia) ngazi ya cheti
  , NINAOMBA NAFASI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA,
  Kwa mujibu wa TANGAZO NINAAMINI NIMEKIZI VIGEZO
  Namaba yangu ya simu ni +255756260275

 34. Maria Bosco Ngowi says:

  Nina umri wa miaka 21 ni mhitimu wa chuo Cha ualimu najitolea katika shule ya msingi ninaomba nafasi ya kazi ya kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura

 35. JONATHAN JUSTIN WILLIAM says:

  Kwa majina naitwa Jonathan Justin William niashi manispaa ya Shinyanga mjini.Umri wangu ni miaka 45 na ninaelimu ya kidato cha nne.Kazi yangu ni wakala wa niaefanyia kazi stendi kuu ya mabasi ya mkoa,lakini pia fani yangu ni udereva.Naomba kazi ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.Nitamuani yangu ombi langu litakubaliwa.Namba yangu ya simu 0655499923

 36. Naitwa Mwaza Hussein isale ni mtanzania alisi ninaumli wa miaka 26 nimemaliza from 4.
  Na nimkazi wa Tabora kaliua nilikua naomba kazi ya uandikishaji daftari la wapiga kula katika wilaya ya kaliua nkwamujibu wa tangazo nimekizi vigezo na mashraiti na ninajua computer na cm ya smart phone naimani mtanipa fulsa nambali ya cm ni 0683969653

 37. Dotto amos charles says:

  NAOMBA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NINA ELIMU YA KIDATO CHA NNE

 38. AOMBA NAFAS YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTAR LA KUDUMU LA MPIGA KURA NINA ELIMU YA KIDATO CHA NNE

 39. Jeremia Mgeta says:

  Naitwa:JEREMIAH MGETA
  Natokea:MARA
  Manispaa ya MUSOMA
  Ninaomba nafasi ya kazi ya kuandikisha DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA,
  Kwa mujibu wa TANGAZO NINAAMINI OMBI LANGU LITAPOKELEWA,
  Namba yangu ya simu ni +255717792713

 40. Flora Thomas Jeremia says:

  25/04/2024
  KWA MAJINA NAITWA FLORA THOMAS JEREMIA
  NINA UMRI WA MIAKA : 34
  NINAISHI HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILALA, MKOA WA DAR ES SALAAM
  MIMI NI: MTANZANIA
  KIWANGO CHA ELIMU NI KIDATO CHA NNE
  NINAOMBA NAFASI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA,
  Kwa mujibu wa TANGAZO NAJUA KUTUMIA COMPUTER NA SIMU JANJA NINAAMINI NIMEKIZI VIGEZO
  Namaba yangu ya simu ni +255718575734

  • Pius washa fales says:

   26/04/2024
   Kwa majina naitwa PIUS WASHA FALES naishi buhongwa wilaya ya nyamagana mwanza
   Mimi ni mtanzania wa kuzaliwa.
   Kiwango Cha elimu ni ualimu daraja A
   NINAOMBA NAFASI YA KAZI YA UANDIKISHA DAFTAR LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWANI NINAUZOEFU NA TEHAMA KATIKA VIFAA VYA KIELECTRONIC
   Namba yangu ya simu ni 0782594494

 41. Mimi ni mkazi wa manispaa ya ubungo mkoani Dar es salaam
  Mimi ni mtanzania
  Kiwango cha elimu kidato cha nne
  Nina ujuzi wa kutumia simu na computer
  Ninatuma maombi yangu kupata nafasi ya kuandikisha wapiga kura katika daftari la wapiga kura
  Namba yangu ya simu +255625654799

 42. Lilian aloyce mponzi say
  26/04/2024/ 08:55pm

  26/04/2024
  KWA MAJINA NAITWA LILIAN ALOYCE MPONZI
  NINA UMURI WA MIAKA: 27
  NAISHI HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
  MIMI NIMTAZANI
  KIWANGO CHA ELIMU NI KIDATO CHA NNE
  NINAOMBA NAFASI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
  KWA MUJIBU WA TANGAZO NA UJUZI WA KUTUMIA COMPUTE NA SIMU JANJA
  NITASHUKURU OMBI LANGU KAMA LITAKUBALIKA
  NAMBA YA YANGU YA SIMU NI +255718991931 au 0754840933

 43. Mariam says:

  Naitwa mariam sembe nipo dodoma mjini naomba kazi ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa mujibu wa tangazo namba ya simu 0674929108

 44. Mim ni kijana wa kiume ninaomba mnipe ktka nafas hiz mlizo ziorodhesha maan Mimi ni mdhoefu wa kutumia compyuta na smartphone pia mim ni kijana NIMEMALIZA form 4

  • ANDREW says:

   NAITWA ANDREA MICHAEL MWAKALIKU NINA MIAKA 24 MKAZI WA MOSHI, NAOMBA KUPATA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KATIKA KATA YA URU KUSINI, KIJIJI CHA KIRIMA JUU, NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA ELIMU YA JUU NA NINA UJUZI WA KUTUMIA KOMPYUTA NA SIMU JANJA PIA. AHSANTE SANA
   NAMBA YA SIMU 0682057315

 45. KWA MAJINA NAITWA JOSEPHAT FRANK
  NINA UMRI WA MIAKA : 20
  NINAISHI HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO, MKOA WA DAR ES SALAM
  MIMI NI: MTANZANIA
  KIWANGO CHA ELIMU NI KIDATO CHA NNE
  NINAOMBA NAFASI YA MUDA YA KUANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA,
  Kwa mujibu wa TANGAZO NAJUA KUTUMIA COMPUTER NA SIMU JANJA NINAAMINI NIMEKIZI VIGEZO
  Namaba yangu ya simu ni +255695425597

 46. MAGRETH LIVING MALLYA ..
  UMRI 21, MTANZANIA, NAISHI WILAYA YA MOSHI,VIJIJINI KATA YA KINDI .
  KIWANGO CHAELIMU, KIDATO CHA NNE
  Najua kutumia computer na simu…ninaomba nafasi ya mda ya kujiandikisha daftar la kudumu la wapiga kura namba ya simu 0622594440

 47. FADHILI MOHAMED LIKONGOLA says:

  26/04/2024 at 10:13 am
  Naitwa fadhili mohamed nipo lindi mjini naomba kazi ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa mujibu wa tangazo namba ya simu 0768908142

 48. Ally ayoub abdalla says:

  Ally ayoub abdallah
  Naitwa Ally ayoub abdallah nipo mjini Arusha kata na mtaa ya engutoto. naomba kazi ya kaundikisha daftari la wapigaji kura kwa mujibu wa tangazo mim ni mtanzania mwenye uraia wa kuzaliwa Nina umiri wa miaka 21 najua kusoma na kuandika pia nimehitimu kidoato Cha nne na Nina diploma ya human resource management hivy na uzoefu na hii kazi

 49. Ally says:

  Kwa majina naitwa Ally ayoub abdallah ni mkazi wa arusha Nina umri wa miaka 21 nakaa mtaa wa engutoto nimehitimu kidato Cha nne naomba nafasi ya kuandikisha daftari la wapigaji kura kwa mujibu watanagazo.mimi ni mtanzania mwenye uraia wa kuzaliwa pia Nina uzoefu na kazii ya kuboresha dafatri la wapigaji kura.
  No,0756696459
  No.0699696491

 50. Lilian Said says:

  Naitwa Lilian suleiman said, nimkazi wa dare es salaam kwa sasa naomba kazi ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura kwa mujibu wa tangazo linavosema, ninauzoefu wa kutumia kompyuta, simu za aina zote niuhitimu wa kidato cha nne umri wangu ni miaka 28 . Namba yangu ya simu ni 0652497478/0753901230

 51. Danson timoth msimihe says:

  Ninaomba kazi ya muandikisha daftari la kudumu la wapiga kura kama mwandishi msaidizi. Nina shahada ya elimu ya chuop kikuu dsm. Namba. 0627837015/0652621626

  • Paulina swalehe says:

   Ninaomba kazi ya muandikishi msaidiziwa daftari la kudumu la mpiga kura.
   Npo mkoa wa Dodoma, wilaya ya dodoma mjiini, mtaa wa ihumwa,
   Nina umri wa miaka 22,
   Elimu kidato cha nne.
   Namba ya simu 0693838100

 52. Anna clement says:

  Jina langu Anna clement,umri 32,elimu stashahada ya ugavi na ununuzi,naomba ajira ya muda katika uboreshaji wa daftari la mpiga kura 2024,Nipo mwanza mtaa wa makongoro kata ya kirumba, no,0754203703

  • Yusra kombo mkubwa says:

   Jina langu YUSRA KOMBO MKUBWA Nina umri w miaka 20 nimemaliza masomo yangu kidato Cha 4 naomba nafas za utendaji na waandish tume ya uchaguz , hivyo najiamin Kwa kiwango 99%kwa kufanya vizur katika Kaz yangu .Natumai ombi lang litafanikiwa Kwa wepes . Nipo maeneo y Zanzibar mtaa w tomondo no 0712223977 AHSANTENI

 53. Yusra kombo mkubwa says:

  Jina langu YUSRA KOMBO MKUBWA Nina umri w miaka 20 nimemaliza masomo yangu kidato Cha 4 naomba nafas za utendaji na waandish tume ya uchaguz, hivyo najiamin Kwa kiwango 99% Kwa kufany vizur katika kazi yang . Natumai ombi lang litafanikiwa Kwa wepes.Nipo maeneo ya ZANZIBAR mtaa w TOMONDO no 0712223977 AHSANTENI

 54. Jina langu YUSRA KOMBO MKUBWA Nina umri w miaka 20 nimemaliza masomo yangu kidato Cha 4 naomba nafas za utendaji na waandish tume ya uchaguz hivyo najiamin Kwa kiwango 99% Kwa kufany vizur katika Kaz yangu. Natumai ombi lang litafanikiwa Kwa wepesi . Nipo maeneo y Zanzibar mtaa w TOMONDO no 0712223977 AHSANTENI

 55. SEBASTIAN RAPHAEL MWANGU says:

  Jina ni SEBASTIAN RAPHAEL nipo mkoa wa Singida.Ni mwalimu..ninauzoefu wa kutumia Smart phone pamoja na computer. Ninaomba nafasi ya utendaji na uandishi .Nina uwezo wa kuifanya kazi hii kwa ufanisi mkubwa. Namba zangu za simu ni 0784007470& 0676611981. Nipo manispaa ya Singida.

 56. Anna says:

  Mimi ni kijana wa kike ninaejiamini pia Nina uzoefu wa matumizi ya komputa na smartphone Nina elimu ya Tehama ngazi ya diploma ninaona nafasi ya mda ya usimamizi na uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nipo wilaya ya Arusha mkoa wa Arusha Almashauri ya jiki la Arusha namba yangu ya simu ni 0786143547 na 0763938715

 57. Tedy mussa says:

  Naitwa tedy nina miaka 20naomba nafasi ya uwanfikishaji nipo zanzibar chukwani

 58. Nusura pauya says:

  Naitwa nusura mohamedi pauya mkoa wa mtwara kata naliendele Mtaa wa mbawala chini naomba ajira ya muda ya muandishi msaidizi wa daftali la mpiga kura elimu kidato cha nne hadi hadi chuo namb ya sm 0694938893

 59. Sadick j sadick says:

  Tabora uyui Elimu chuo elimu maalumu

 60. Miaka 22 TABORA UYUI

 61. Miaka 22 TABORA UYUI
  Naomba nafasi

 62. STEPHANO says:

  STEPHANO LUSHINGE MAGEHU
  Kijiji cha Bwendaseko, kata ya Mbogwe, Wilaya ya Mbogwe,mkoa Geita.Ninaomba nafasi ya mwandishi msaidizi wa daftari la kudumu la wapiga kura 2024

 63. Ramadhani mohamed kondo says:

  Naitwa Ramadhani mohamed kondo
  Nimkazi wa dar es salaam buguruni
  Elimu kidato cha nne ninamiaka 19
  Nilikuwa naomba ajira ya mwandishi msaidiza
  Katika daftari la kudumu la mpigakura naweza kutumia
  Computer na simu
  Namba yangu ya simu 0698279835

 64. SLYIVANUS RUGEMAMU SARAPION says:

  Naitwa SLYIVANUS RUGEMAMU SARAPION Nina umri wa miaka 32,ninaomba kufanya kazi na ofisi yenu katika nafasi ya kuendesha mtambo wa biometriki, kwakuwa Nina uzoefu wa mwaka 2019 katika kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura.
  Napatikana
  Wilaya :NGARA
  MKOA:KAGERA
  KATA: NYAMIAGA
  SIMU:0759227260
  Email: slyivanuss@gmail.com

 65. Mohamedy ally magambuu says:

  Kwa majina naitwa mohamedy ally magambuu nina elimu ya kidato cha nne ni mkazi wa dar es salaam chanika wilaya ya ilala kata ya lukooni ni mzoefu mbobezi wa kutumia kompyuta na simu janja kama mnavyohitaji nina miaka 24 naomba mnipatie ajira ya kudumu ya kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura naahidi kufanya kazi kwa bidii na kwa weledi mkubwa asanteni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *