KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

NAFASI za Watendaji wa Vijiji Wilaya ya Chamwino May 24-2024

Filed in Ajira by on 25/05/2024 0 Comments

NAFASI za Watendaji wa Vijiji Wilaya ya Chamwino May 24-2024

NAFASI za Watendaji wa Vijiji Wilaya ya Chamwino May 24-2024, Ajira za Watendaji wa Vijiji Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino May 24-2024, Nafasi za Watendaji wa Vijiji Halmashauri Mbalimbali May 2024, TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO 24-05-2024.

NAFASI za Watendaji wa Vijiji Wilaya ya Chamwino May 24-2024

NAFASI za Watendaji wa Vijiji Wilaya ya Chamwino May 24-2024, Ajira za Watendaji wa Vijiji Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino May 24-2024, Nafasi za Watendaji wa Vijiji Halmashauri Mbalimbali May 2024, TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO 24-05-2024.

Kufuatia kutolewa kwa Vibali vya Ajira mbadala vyenye Kumb Na. FA.228/613/01/B/069 cha tarehe 2/4/2024 na FA.228/613/01/A/046 cha tarehe 25/03/2024. kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo ya kujaza nafasi zifuatazo;-

MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA 111- (NAFASI 3)

SIFA ZA MWOMBAJI

 • Awe amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI)
 • Awe amehitimu mafunzo ya Astashahada katika moja ya fani zifuatazo; Sheria, Elimu ya
  Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali
  za Mitaa Hombolo au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

NAFASI za Watendaji wa Vijiji Wilaya ya Chamwino May 24-2024, Ajira za Watendaji wa Vijiji Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino May 24-2024, Nafasi za Watendaji wa Vijiji Halmashauri Mbalimbali May 2024, TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO 24-05-2024.MAJUKUMU YA KAZI

 • Mtendaji Mkuu wa Serikali ya kijiji;
 • Katibu wa Kamati ya kijiji;
 • Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Kijiji;
 • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Kijiji;
 • Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Kijiji;
 • Mshauri wa Kamati ya Kijiji kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama;
 • Msimamizi wa Mtekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umasikini katika Kijiji;
 • Kusimamia Ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi; na
 • Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

NGAZI YA MSHAHARA
Ngazi ya mshahara ni TGS B.

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI

 • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa
  kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma;
 • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/Wakili;
 • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika
  kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri
  wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
 • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
 • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
 • Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates, -Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, -Computer Certificate, -Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
 • “Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
 • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
 • Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
 • Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi
  wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC.
  45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
 • Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 05 June, 2024.

MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; portal.ajira.go.tz (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’).

Maombi yatakayowasi/ishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.

DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags: , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *