NAFASI za Watendaji wilaya ya Urambo July 14-2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NAFASI za Watendaji wilaya ya Urambo July 14-2024
NAFASI za Watendaji wilaya ya Urambo July 14-2024
POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST
EMPLOYER Halmashauri ya wilaya ya Urambo
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-14 2024-07-28
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji;
- Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji;
- Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji;
- Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji;
- Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
- Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali;
- Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji;
- Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji;
- Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji;
- Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
- Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji; na
- Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS
Nafasi nyingine Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo tafadhali angalia hapa Chini;
POST: MTENDAJI WA KIJIJI III – 2 POST Employer: Halmashauri ya wilaya ya Urambo More Details |
2024-07-28 Login to Apply |
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 5 POST Employer: Halmashauri ya wilaya ya Urambo More Details |
2024-07-28 Login to Apply |
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST Employer: Halmashauri ya wilaya ya Urambo More Details |
2024-07-28 Login to Apply |