RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA

INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA

INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA

NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Biharamulo July 2024

Filed in Ajira by on 26/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Biharamulo July 2024

NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Biharamulo July 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Zoezi la Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo Ajira za INEC Jimbo la Biharamulo Magharibi, Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024.

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Biharamulo Magharibi anapenda kuwatangazia Walio orodheshwa katika majedwali hapa chini kuwa wamefaulu usaili.

Hivyo basi wanaitwa kuhudhuria Mafunzo ya kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

MAMBO YA KUZINGATIA

  • Mafunzo yatafanyika kuanzia tarehe 02/08/2024 hadi 03/08/2024.
  • Mafunzo yataanza Saa 02:00 Asubuhi katika kumbi zote za Mafunzo.
  • Kila mshiriki anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi, Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na Kitambulisho cha NIDA, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva au Barua Utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa.
  • Afisa Mwandikishaji Jimbo la Biharamulo Magharibi atagharamia posho ya mafunzo, Chakula na posho ya Usafiri kwa washiriki walio alikwa tu.
  • Kila mshiriki azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia mafunzo. Mshiriki atakayefika nusu saa baada ya mafunzo kuanza hatapokelewa na nafasi yake atateuliwa mtu mwingine.

Majedwali ya vituo na orodha ya wanaoitwa kwenye mafunzo yameambatishwa Kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KAZINI AJIRA ZA INEC JUMBO LA BIHARAMULO MAGHARIBI JULY 2024.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.