NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Bukoba Vijijini July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Bukoba Vijijini July 2024
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Bukoba Vijijini July 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Zoezi la Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo Ajira za INEC Jimbo la Bukoba Vijijini, Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024.
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bukoba Vijijini anapenda kuwatangazia walioorodheshwa hapo chini kuwa wamefaulu usaili.
Hivyo wanaitwa kuhudhuria mafunzo ya kazi ya Mwandishi Msaidizi na Mwendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwaajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.
Mafunzo yatafanyika tarehe 02-03/08/2024 katika ukumbi wa Chuo cha Cardinal Rugambwa Memorial College (CARUMCO) kuanzia saa 2.00 asubuhi.
Hivyo unatakiwa kufika kabla au ifikapo 1:30 asubuhi.
MAMBO YA KUZINGATIA
- Kila mshiriki anatakiwa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Aidha vitambulisho vinavyokubalika ni:- Kitambulisho cha Mfanyakazi, Mpiga kura, Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya udereva au barua ya utambulisho kutoka Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji.
- Afisa mwandikishaji wa jimbo la Bukoba vijijini atagharamia posho ya mafunzo, chakula na posho ya usafiri kwa washiriki walioalikwa tu.
- Kila mshiriki azingatie tarehe, muda na mahali palipopangwa kufanyia mafunzo.
- Mshiriki atakayefika nusu saa baada ya mafunzo kuanza hatapokelewa na nafasi yake atateuliwa mtu mwingine.
Orodha ya wanaoitwa kwenye mafunzo imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KAZINI AJIRA ZA INEC JIMBO LA BUKOBA VIJIJINI JULY 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Bukoba Vijijini July 2024