NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kakonko July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kakonko July 2024
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kakonko July 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo INEC Jimbo la Buyungu, Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko,
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na maandalizi ya mchakato wa Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika Jimbo la Buyungu, Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko.
- NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Uyui Tabora July 2024
- NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Jimbo la Urambo July 2024
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na maandalizi ya mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika Jimbo la Buyungu, Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko.
Afisa mwandikishaji Jimbo la Buyungu anapenda kukutaarifu kuwa umechaguliwa kushiriki zoezi la Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuwa Wandishi Wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki litakaloanza tarehe 20-26 Julai
2024.
Hivyo unatakiwa kuhudhuria mafunzo yatakayofanyika kuanzia Tarehe 17-18 Julai 2024 siku ya Jumatano na Alhamisi kuanzia Saa 1:00 Asubuhi katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Kakonko.
Orodha ya majina ya waliofaulu usaili kwa kila Kata imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kakonko July 2024