NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Karagwe July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Karagwe July 2024
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Karagwe July 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Zoezi la Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo Ajira za INEC Jimbo la Karagwe, Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024.
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Karagwe anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za kazi za muda za Waandikishaji wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki waliofanya usaili na kufaulu tarehe 22/07/2024, watapatiwa mafunzo tarehe 2/8/2024 na tarehe 3/8/2024 saa 2:00 asubuhi katika Tarafa zao kama ifuatavyo:-
- Tarafa ya Nyaishozi usaili utafanyika Shule ya Sekondari Nyaishozi.
- Tarafa ya Bugene mafunzo yatafanyika Chuo cha Ufundi VETA – Karagwe.
- Tarafa ya Nyakakika mafunzo yatafanyika Shule ya Sekondari Nyabiyonza.
- Tarafa ya Nyabiyonza mafunzo yatafanyika Shule ya Msingi Ahakishaka.
- Tarafa ya Kituntu mafunzo yatafanyika Shule ya Sekondari Rwambaizi.
- Aidha waombaji wa Kata ya Kihanga mafunzo yatafanyika Chuo cha Ufundi VETA – Karagwe.
Kila mshiriki azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia mafunzo.
Mshiriki atakayefika nusu saa baada ya mafunzo kuanza hatapokelewa, na nafasi yake itachukuliwa na mtu mwingine.
Orodha ya waliofaulu usaili na kuitwa kwenye mafunzo imeambatishwa kwenye PDF hapa chini!
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KAZINI AJIRA ZA INEC JIMBO LA KARAGWE JULY 2024
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Karagwe July 2024