NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kibondo July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kibondo July 2024
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kibondo July 2024, KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa maandalizi ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024.
Hii ni kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Namba 2 ya Mwaka 2024 na kanuni 12 ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu Mwaka 2024 kifungu kidogo cha 1(b-f).
Hivyo basi, Afisa Mwadikishaji wa Jimbo la Muhambwe anawataarifu waombaji wafuatao ambao walifanya usaili tarehe 22.6.2024 kwa nafasi za Waandishi Wasaidizi na Waendesha BVR kuwa wamechaguliwa kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024 na kwamba wanatakiwa kuhudhuria mafunzo ya kazi walizoomba yatakayofanyika tarehe 17-18/7/2024 kuanzia saa 1.30 asubuhi katika Chuo cha Maafisa Tabibu IOM.
Hongereni sana na nawatakia kazi njema.
Orodha ya majina ya waliofaulu usaili kwa kila Kata imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]
Tags: NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Kibondo July 2024