RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Missenyi July 2024

Filed in Ajira by on 26/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Missenyi July 2024

NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Missenyi July 2024

NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Missenyi July 2024

NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Missenyi July 2024, Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Zoezi la Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo Ajira za INEC Jimbo la Nkenge, Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024.

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Uchaguzi la Nkenge anapenda kuwatangazia walioorodheshwa katika jedwali hapo chini kuwa wamefaulu usaili na hivyo wanaitwa kuhudhuria mafunzo ya kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwaajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakaloanza tarehe 05 hadi 11 Agosti,2024 katika Wilaya ya Missenyi.

MAMBO YA KUZINGATIA

  • Mafunzo yatafanyika kuanzia tarehe 02 03 Agosti, 2024 saa 2:00 Asubuhi.
  • Kwa Tarafa ya Kiziba mafunzo yatafanyika katika Ukumbi wa shule ya Msingi Mugana B na
  • Tarafa ya Missenyi mafunzo yatafanyika katika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya Wilayia ya Missenyi.
  • Kila mshiriki anapaswa kuwa na kitambulisho kwaajili ya utambuzi, ambapo vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na Kitambulisho cha Taifa (NIDA) siyo namba ya NIDA (NIN), Kitambulisho cha Mpiga Kura, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho toka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji/ Kata.
  • Afisa Mwandikishaji Jimbo la Nkenge atagharimia posho ya mafunzo, Chakula na posho ya Usafiri kwa Washiriki walioalikwa tu.
  • Kila Mshiriki azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia mafunzo.
  • Aidha, Mshiriki atakayefika dakika 30 baada ya mafunzo kuanza hatapokelewa na nafasi yake atateuliwa mtu mwingine.

Orodha ya wanaoitwa kwenye mafunzo imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KAZINI AJIRA ZA INEC JIMBO LA NKENGE JULY 2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.