NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Uyui Tabora July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Uyui Tabora July 2024
NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Uyui Tabora July 2024, Kuitwa Kwenye Mafunzo INEC Halmashauri ya Wilaya ya Uyui July 2024,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na maandalizi ya mchakato wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Jimbo la Tabora Kaskazini na Igalula.
Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2024, Kanuni ya 12 kifungu kidogo cha 1(b-f).
Hivyo, Afisa Mwandikishaji anawatangazia waombaji waliofaulu usaili uliofanyika tarehe 11/07/2024 Makao Makuu ya Halmashauri kwa nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kufika katika kumbi zifuatazo kwaajili ya Mafunzo tarehe 17/07/2024 saa 2:00 Asubuhi:-
Jimbo la Tabora Kaskazini – Ukumbi Mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui. Jimbo la Igalula – Ukumbi wa Shule ya Sekondari Idete.NEC Walioitwa Kwenye Mafunzo Wilaya ya Uyui Tabora July 2024.
Nawatakia safari njema ya kuja kuhudhuria mafunzo.
Orodha ya majina ya waliofaulu usaili kwa kila Kata na Jimbo imeambatishwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA