NEC Walioitwa Kwenye Usaili Jimbo la Nyang’hwale July 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
NEC Walioitwa Kwenye Usaili Jimbo la Nyang’hwale July 2024
NEC Walioitwa Kwenye Usaili Jimbo la Nyang’hwale July 2024, Majina ya Walioitwa kwenye Usaili NEC Jimbo la Nyang’hwale 2024, Majina Mapya ya Walioitwa kwenye Usaili NEC Jimbo la Nyang’hwale, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale July 2024.
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Nyang’hwale kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu 12 (1) (C) cha kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura za mwaka 2024, anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za kazi za muda za Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Waliochaguliwa kufika kwenye usaili.
Usaili utafanyika Tarehe 22/07/2024 kwa tarafa za Msalala na Bukwimba,na Tarehe 23/07/2024 kwa tarafa za Nyang’hwale na Nyijundu kama ilivyo orodheshwa kwenye tangazo la kila Kata hapa chini.
Kila Msailiwa anatakiwa kuja na
Kitambulisho kwaajili ya
utambuzi.
- Vitambulisho vinavyo kubalika ni pamoja na; Kitambulisho cha mpiga kura,Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha uraia,Hati ya kusafiria, au leseni ya udereva.
- Wasailiwa wanatakiwa kuja na VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES) kuanzia cheti Kidato nne,Astashahada, Stashahada, Shahada na kuendelea kulingana na sifa/elimu ya muombaji.
- Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipo pangiwa kufanyia usaili.
Orodha ya Majina ya walioitwa kwenye usaili yameorodheshwa kwenye PDF hapa chini;
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA KUITWA KWENYE USAILI INEC JIMBO LA NYANG’HWALE
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Majina Mapya ya Walioitwa kwenye Usaili NEC Jimbo la Nyang'hwale, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale July 2024., Majina ya Walioitwa kwenye Usaili NEC Jimbo la Nyang'hwale 2024, NEC Walioitwa Kwenye Usaili Jimbo la Nyang'hwale July 2024