RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


NECTA Taarifa Kuhusu Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2025

Filed in Ajira, NECTA by on 13/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

NECTA Taarifa Kuhusu Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2025

NECTA Taarifa Kuhusu Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2025, USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA ACSEE 2025, TANGAZO_ACSEE_2025.pdf.

NECTA Taarifa Kuhusu Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2025

NECTA Taarifa Kuhusu Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea ACSEE 2025, USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA ACSEE 2025, TANGAZO_ACSEE_2025.pdf.

Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi Mei 2025 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba;

  • Kipindi cha kawaida cha usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea kitakuwa kuanzia tarehe 01 Julai hadi 30 Septemba, 2024 kwa ada ya Shilingi 50,000/=.
  • Aidha, watakaojisajili kwa kuchelewa yaani kuanzia tarehe 01 Oktoba hadi 31 Oktoba, 2024 watalipa Shilingi 65,000/= na hakutakuwa na usajili mwingine baada ya tarehe 31 Octoba 2024.
  • Usajili utafanyika kwa njia ya mtandao (online).
  • Aidha, kabla ya kujisajili, waombaji wanapaswa kwenda kwenye Vituo vya Mitihani kuchukua Namba Rejea (Reference Number) zinazotolewa bure na kufanya malipo ya ada kupitia Benki kwa kutumia ‘Control Number’.
  • Ufafanuzi kuhusu utaratibu na hatua za kufuata katika kutengeneza ‘Control Number’ na kujisajili, umetolewa katika tovuti ya Baraza la Mitihani la Tanzania:
    www.necta.go.tz. na kwa Wakuu wa Vituo vya Watahiniwa wa kujitegemea.
  • Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwani mfumo wa usajili utafungwa baada ya kipindi cha usajili kukamilika.

USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA WA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2025 UMEANZA TAREHE 01 JULAI 2024 NA UTAFUNGWA TAREHE 30 SEPTEMBA, 2024

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.