OMARY Omary Mchezaji Mpya Simba SC 2024/2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
OMARY Omary Mchezaji Mpya Simba SC 2024/2025
OMARY Omary Mchezaji Mpya Simba SC 2024/2025, Klabu ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo fundi, Omary Omary kutoka Mashujaa FC ya Mkoani Kigoma.
Omary anatajwa Kusaini mkataba wa miaka miwili, huku Usajili wa Simba hasa kwa wachezaji wa ndani, ukizingatia malengo ya muda mrefu.
Akiwa na Mashujaa Fc msimu uliopita wa 2023/2024, Omary alihusika katika mabao manne akifunga mawili na kutoa assist mbili.
OMARY Omary Mchezaji Mpya Simba SC 2024/2025