ORODHA ya Vyuo Vikuu Bora 2024
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
ORODHA ya Vyuo Vikuu Bora 2024
ORODHA ya Vyuo Vikuu Bora 2024, Orodha ya Vyo Vikuu Bora vilivyowekwa kwenye viwango na Mashirika ya Kimataifa ya Upimaji na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), kwa mwaka 2024.
Hii ni Orodha Muhimu kwa Wanafunzi na Wazazi au Walezi ambao Wanatafuta taarifa sahihi na za kuaminika Kuhusu Vyuo Vikuu Bora Zaidi Nchini Tanzania kwa Mwaka 2024.
Orodha hii pia inaweza kuwasaidia Wanafunzi wanaotarajia Kujiunga na Elimu ya Juu kufanya Maamuzi Sahihi kulingana na Ubora Wa Vyuo Vikuu.
Vyuo Vikuu Bora Zaidi Tanzania 2024.
Hii hapa chini ni Orodha ya Vyuo Vikuu Bora nchini Tanzania ya Mwaka 2024 vilivyokidhi Vigezo
Orodha Kamili ya Vyuo Vikuu Bora Mwaka 2024
RANK | UNIVERSITY | TOWN |
---|---|---|
1 | University of Dar es Salaam | Dar es Salaam |
2 | Sokoine University of Agriculture | Morogoro |
3 | The University of Dodoma | Dodoma |
4 | Muhimbili University of Health and Allied Sciences | Dar es salaam |
5 | Mzumbe University | Morogoro |
6 | Nelson Mandela African Institution of Science and Technology | Arusha |
7 | Tumaini University Makumira | Arusha |
8 | Ardhi University | Dar es Salaam |
9 | The State University of Zanzibar | Zanzibar City |
10 | St. Augustine University of Tanzania | Mwanza |
11 | Hubert Kairuki Memorial University | Dar es Salaam |
12 | Mbeya University of Science and Technology | Mbeya |
13 | St. John’s University of Tanzania | Dodoma … |
14 | Muslim University of Morogoro | Morogoro |
15 | Catholic University of Health and Allied Sciences | Mwanza |
16 | Mount Meru University | Arusha |
17 | St. Joseph University in Tanzania | Mbezi |
18 | Moshi Co-operative University | Moshi |
19 | University of Iringa | Iringa |
20 | Teofilo Kisanji University | Mbeya |
21 | The University of Arusha | Arusha |
22 | Zanzibar University | Zanzibar City |
23 | International Medical and Technological University | Dar es Salaam |
24 | Ruaha Catholic University | Iringa |
25 | Mwenge Catholic University | Moshi |
26 | Abdulrahman Al-Sumait Memorial University | Zanzibar City |
27 | United African University of Tanzania | Dar es Salaam |
28 | Sebastian Kolowa Memorial University | Lushoto |
29 | University of Bagamoyo | Dar es Salaam |
30 | Eckernforde Tanga University | Tanga |
31 | Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology | Butiama |
32 | Katavi University of Agriculture | Mpanda |