KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA

RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA

WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA

PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

PA Omar Jobe Mshambuliaji Mpya Simba SC 2024

Filed in Michezo, Usajili by on 17/01/2024 0 Comments

PA Omar Jobe Mshambuliaji Mpya Simba SC 2024

PA Omar Jobe Mshambuliaji Mpya Simba SC 2024, Usajili Mpya Simba 2023/2024, Wachezaji wapya wa Simba 2024, Simba yamsajili Mshambuliaji Mpya kutoka Gambia, Pa Omar Jobe ni Mnyama.

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Pa Omar Jobe raia wa Gambia kutoka klabu ya FC Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kazakhstan Kwa mkataba wa miaka miwili.

Nchini Gambia PA Omar anajulikana kwa jina la utani la Drogba. Moja ya rekodi yake ni kuwa Mfungaji Bora wa Ligi ya Senegal akicheza pamoja na Babacar Sarr kwenye ligi hiyo kabla ya kwenda Ulaya.

PA Omar Jobe Mshambuliaji Mpya Simba SC 2024, Usajili Mpya Simba 2023/2024, Wachezaji wapya wa Simba 2024, Simba yamsajili Mshambuliaji Mpya kutoka Gambia, Pa Omar Jobe ni Mnyama.

PA Omar Jobe Mshambuliaji Mpya Simba SC 2024

Idara ya Ushambuliaji ni moja ya eneo ambalo Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha aliugaka uongozi ulifanyie Maboresho.

Jobe anakuwa mchezaji wa pili wa Kimataifa wa Simba kusajiliwa katika dirisha hili la usajili baada ya Babacar Sarr aliyesajiliwa kutoka US Monastir ya Tunisia.

Wachezaji wengine walisajiliwa na Simba katika dirisha hili dogo la usajili 2023/2024 ni Salehe Karabaka kutoka JKU SC na Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar FC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA

KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA

KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

Tags: , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *