RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


PATRICK Aussems atua Singida Black Stars

Filed in Usajili, Michezo by on 01/07/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

PATRICK Aussems atua Singida Black Stars

PATRICK Aussems atua Singida Black Stars

PATRICK Aussems atua Singida Black Stars

PATRICK Aussems atua Singida Black Stars, Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeikamilisha usajili wa Kocha, Patrick Aussems raia wa Ubeligiji kuwa Kocha Mkuu wa timu huyo kuanzia msimu mpya wa 2024/25 kwa kandarasi ya awali ya msimu mmoja mpaka tarehe 30 June 2025 kama Kocha Mkuu.

Patrick Aussems mwenye umri wa miaka 59 ni Kocha mwenye leseni ya UEFA PRO na uzoefu wa kufundisha vilabu vikubwa barani Afrika, Ulaya na Asia, zikiwemo timu za Al Hilal Omdurman (Sudan), Simba SC (Tanzania), AFC Leaopards (Kenya), Shenzhen Ruby (China), ETG (Evian Thonon Gaillard) FC & Angers SCO FC – France.

Pia amewahi zifundisha timu za taifa mbalimbali zikiwemo za Nepal na Benin.

Kocha Aussems amewahi pia kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Marbella FC ya Spain.

Aidha Kocha Aussems atajiunga na kikosi Cha Singida Black Stars na kuanza kazi rasmi tarehe 1 Julai 2024.

Kwa sasa anaendelea na zoezi la usajili kwa kushirikiana na Menejimenti ya Klabu hiyo.

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.