PRECIOUS Christopher ni Mnyama
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
PRECIOUS Christopher ni Mnyama
PRECIOUS Christopher ni Mnyama, Klabu ya Simba Queens imekamilisha usajili wa Kiungo fundi, Precious Christopher Kuelekea msimu wa 2024/2025.
Precious raia wa Nigeria mwenye miaka 22 amejiunga na Simba akitokea Yanga Princess kwa mkataba wa miaka miwili.
Msimu uliopigwa Precious amefunga mabao matatu na kusaidia kupatikana kwa jingine moja na alikuwa mchezaji muhimu wa kikosi cha kwanza Cha Simba Queens.
Msimu ujao wa 2024/2025 Simba imedhamiria kufanya vizuri kwenye michuano ya ndani na ile ya kimataifa.