KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

RAIS Samia afanya Uteuzi mpya May 06-2024

Filed in Habari by on 06/05/2024 0 Comments

RAIS Samia afanya Uteuzi mpya May 06-2024

RAIS Samia afanya Uteuzi mpya May 06-2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo:

Amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Dkt. Doriye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC).

Amemteua Bw. Christopher Derek Kadio kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Bw. Kadio anachukua nafasi ya Bi. Esther Hellen Lugwisha ambaye amemaliza muda wake.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *