RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RAIS Samia aipongeza Yanga, Simba ijipange

Filed in Michezo by on 06/04/2024

RAIS Samia aipongeza Yanga, Simba ijipange

RAIS Samia aipongeza Yanga, Simba ijipange

RAIS Samia aipongeza Yanga, Simba ijipange

RAIS Samia aipongeza Yanga, Simba ijipange, Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Klabu ya Simba SC ijipange kwaajili ya msimu ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutolewa kwenye Robo Fainali ya Michuano hiyo na Bingwa mtetezi Al Ahly.

Rais Samia ameandika kwenye mitandao yake ya kijamii

“Mchezo mzuri Simba. Usiku haukuwa wa ushindi lakini tumeziona juhudi na zinatupa faraja na matarajio kuwa, msimu ujao wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika mambo yatakuwa mazuri zaidi. Ahadi yetu ni kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.”

Simba imeishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara ya nne katika misimu sita baada ya kupokea kichapo cha jumla ya mabao 3-0.

Hiyo ni baada ya kupoteza ugenini mabao 2-0 yaliyofungwa Amr El Solia dakika ya 47 na Mahmoud Kahraba kwa penalti dakika ya 90 huku bao la kwanza lilifungwa na Ahmed Nabil Koka Machi 29 katika Uwanja wa Mkapa.RAIS Samia aipongeza Yanga, Simba ijipange

Katika hatua nyingine, Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewapongeza wachezaji wa Yanga kwa ari na morali yao waliyoonyesha katika mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Rais Samia amesema kuwa Serikali itaendelea kuiunga mkono Yanga pamoja na kuwapa motisha ili kuhakikisha wanaendelea kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania Kimataifa.

Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.

RAIS Samia aipongeza Yanga, Simba ijipange

Tags: ,

Comments are closed.