RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2024/2025 TAZAMA HAPA


INEC RATIBA YA UBORESHAJI WAPIGA KURA 2024/2025 HAPA


INEC KUITWA KWENYE USAILI 2024/2025 TAZAMA HAPA


AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA


JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP HAPA


RASMI JKT Tanzania Yasalia Ligi Kuu 2024/2025

Filed in Michezo by on 08/06/2024
SHARE THIS POST:

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA

RASMI JKT Tanzania Yasalia Ligi Kuu 2024/2025

RASMI JKT Tanzania Yasalia Ligi Kuu 2024/2025RASMI JKT Tanzania FC imefanikiwa kusalia Ligi Kuu ya NBC Msimu ujao wa 2024/2025 baada ya sare ya bila mabao dhidi ya Tabora United ya Tabora katika mchezo wa Pili wa mchujo wa kuwania kubaki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Mstaafu Isamuhyo, Mbweni, Dar es Salaam Leo Jumamosi June 08-2024.

RASMI JKT Tanzania Yasalia Ligi Kuu 2024/2025JKT imenufaika na ushindi mnono wa ugenini wa mabao 4 – 0 kwenye mchezo wa kwanza Jumanne iliyopita, Mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

Baada ya kuondoshwa sasa Tabora United watakwenda kumenyana na Biashara United ya Mara kutoka Championship kwa michezo mingine miwili ya nyumbani na ugenini kujaribu tena kubaki Ligi Kuu.

Mchezo wa Kwanza kati ya Tabora United dhidi ya Biashara United unatarajiwa kuchezwa June 12 huku Mchezo wa Marudiano ukipigwa June 16.

Mshindi wa Jumla wa Michezo hiyo miwili atapanda Ligi Kuu Msimu ujao wa 2024/2025

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

SHARE THIS POST:

Tags:

Comments are closed.