KUITWA KWENYE USAILI NEC 2024 TAZAMA HAPA


RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

RASMI Simba yaachana na Abdelhak Benchikha

Filed in Usajili, Michezo by on 28/04/2024 0 Comments

RASMI Simba yaachana na Abdelhak Benchikha

RASMI Simba yaachana na Abdelhak Benchikha

RASMI Simba yaachana na Abdelhak Benchikha

RASMI Simba yaachana na Abdelhak Benchikha, Uongozi wa klabu ya Simba umefikia Makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake wawili Kamal Boujnane na Farid Zemit.

Taarifa ya Simba imesema kuwa Benchikha ameomba kuvunja mkataba wake kutokana na matatizo ya kifamilia yanayomkabili nyumbani kwao Algeria.

Taarifa imeendelea kusema kuwa Benchikha ameueleza uongozi wa Simba kuwa anauguliwa na Mkewe hivyo anahitaji muda kuwa karibu nae na kumuuguza.

RASMI Simba yaachana na Abdelhak BenchikhaKwa kuzingatia umuhimu wa jambo hilo Uongozi wa Simba umeridhia ombi la Mwalimu Abdelhak Benchikha kuondoka.

Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa unamshukuru Benchikha kwa kipindi chote alichotumikia ndani ya timu hiyo na unamtakia kila la heri na kumuombea Mkewe apate afya njema.

Wakati huo huo, Uongozi wa klabu umemteua Mwalimu Juma Mgunda kukiongoza kikosi hicho akisaidiwa na Selemani Matola hadi hapo Bodi ya Wakurugenzi itakapotoa uamuzi mwingine.

Mwalimu Juma Mgunda ataanza kazi katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC utakaochezwa April 30, Mjini Ruangwa Mkoani Lindi katika Uwanja wa Majaliwa.

KUPATA NAMBA YA NIDA BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LESENI YA BIASHARA BONYEZA HAPA


KUPATA TIN NUMBER BURE BONYEZA HAPA


KUOMBA LOSS REPORT BURE BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA [email protected]

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *