RATIBA KAMILI NA MAKUNDI YA EURO 2024 TAZAMA HAPA


WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2024 TAZAMA HAPA


PATA AJIRA MBALIMBALI KILA SIKU BONYEZA HAPA

RATIBA Kamili Mtihani wa Kidato cha Sita 2024

Filed in NECTA, Habari, Michezo, TAMISEMI by on 06/05/2024 0 Comments

RATIBA Kamili Mtihani wa Kidato cha Sita 2024

RATIBA Kamili Mtihani wa Kidato cha Sita 2024

RATIBA Kamili Mtihani wa Kidato cha Sita 2024

RATIBA Kamili Mtihani wa Kidato cha Sita 2024, Baraza la Mitihani Tanzania NECTA limetangaza kuanza kwa Mitihani ya Kidato Cha Sita na Ualimu Nchi nzima ambapo mitihani hiyo itaanza Leo Jumatatu May 06-2024 na kumalizika May 20 na 24-2024.

Mtihani huu utafanyika katika jumla ya Shule za Sekondari 931 na vituo 258 vya Wanafunzi wa kujitegemea.

Katibu Mtendaji wa NECTA, Said Mohammed amesema hayo Jijini Dar es salaam huku akisema kumekuwa na ongezeko la asilimia 6 la Watu ukilinganisha na waliofanya mwaka jana 2023.

Amesema athari za mvua zimesababisha Shule moja ya Sekondari ya Kilwa huko Lindi kutokuweza kutumika na Wanafunzi watafanyia mtihani wao katika kituo cha FDC (Chuo cha Maendeleo ya Jamii).

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *