RATIBA Kufuzu AFCON Morocco 2025
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA
RATIBA Kufuzu AFCON Morocco 2025
RATIBA Kufuzu AFCON Morocco 2025, Droo ya kufuzu AFCON 2025 kufanyika Afrika Kusini,Droo ya kufuzu Afcon 2025 kufanyika July 04 Johannesburg Afrika Kusini,Jumla ya timu 24 kufuzu AFCON 2025 Morocco, Timu 48 kugawanywa katika makundi 12.
Safari ya kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika la CAF la TotalEnergies Morocco 2025 itaendelea kwa droo ya Kufuzu ambayo itafanyika Alhamisiya July 04- 2024 Mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Droo hiyo itafanyika katika studio za SuperSport nchini Afrika Kusini saa 14h30 kwa saa za huko (saa 15h30 saa za Cairo, 12h30 GMT).
Mataifa 48, wakiwemo washindi wanne kutoka raundi ya awali (Chad, Eswatini, Liberia na Sudan Kusini) yatapangwa katika Makundi 12 ya timu nne kila moja ili kupambana kuwania nafasi za Fainali.
Wanaoongoza Mataifa yaliyothibitishwa kuwania droo hiyo ni Mabingwa wa Afrika Cote d’Ivoire wakiungana na Algeria, Angola, Benin, Botswana, Burundi, Cameroon, Cape Verde, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Chad, Comoro, Kongo, DR Congo, Misri, Equatorial Guinea.
Eswatini na Ethiopia. Nyingine ni pamoja na Gabon, Gambia, Ghana, Guinea, Guinea Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Libya, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Sao Tome & Principe, Senegal, Sierra Leone.
Nyingine ni Afrika Kusini, Sudan Kusini, Sudan, Tanzania, Togo, Tunisia, Uganda, Zambia na Zimbabwe.
Mechi za kufuzu zimepangwa kuanza Septemba 2024 ili Kupata mataifa 24 ya kwanza yatakayochuana kuwania Kufuzu Mashindano hayo makubwa zaidi barani Afrika, maarufu Kombe la Mataifa ya Afrika la TotalEnergies CAF nchini Morocco mnamo 2025.
Kipindi hiki cha kufuzu kitakuwa na raundi mbili za michezo zitakazofanyika katika mwezi wa Septemba, zikifuatiwa na raundi nyingine mnamo Oktoba, na hatimaye kukamilika mwezi wa Novemba.
Ratiba Kamili Kufuzu kwa AFCON 2025 nchini Morocco
Droo ya kufuzu Afcon 2025 kufanyika Julai 4 kule Afrika Kusini
Timu 48 zitakazochuana zitagawanywa katika makundi 12 ya wanne, huku mbili za kwanza katika kila kundi zikifuzu kwa Afcon 2025 nchini Morocco.
Droo ya kufuzu mashindano ya Afcon 2025 inatazamiwa kufanyika Julai 4, jijini Johannesburg Afrika Kusini.
Jumla ya timu 24 zinatazamiwa kufuzu kwenye mashindano hayo yanayoratibiwa kufanyika nchini Morocco.
Draw for TotalEnergies Africa Cup of Nations Morocco 2025 Qualifiers set for 04 July in Johannesburg.
PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA
MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com
Tags: Droo ya kufuzu AFCON 2025 kufanyika July 4-2024 Afrika Kusini, Droo ya kufuzu mashindano ya Afcon 2025 kufanyika July 04-2024 Jijini Johannesburg Afrika Kusini, Jumla ya timu 24 kufuzu kwenye mashindano hayo yatayofanyika nchini Morocco 2025., RATIBA Kufuzu AFCON Morocco 2025